mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,458
- 3,127
Kwa wataalam wa Technology mtakuwa mmeshasikia ujio wa Technology ya 5G yenye downloading speed ya 20gb/sec.
Technology hii ndo itaubadilisha ulimwengu wetu to next mode of production.
Dunia yetu itakuwa ya automatic..kila kitu kitakuwa smart kwan artificial intelligence ndo itakuwa trend.sasa magari ya tesla yatakuwa yanatumika zaidi.
Smart device...kwa msaada wa 5g hata mimi nitaweza kumiliki robot sophia kwa shughuli za nyumban akasimamia yeye...
CHINA INAZINDULIWA RASMI 2020.
USA WANACHELEWA MPAKA 2025.
UK wao wakisaidiwa na China (Huawei) wamashazambaza minara nchi yooote.
Lakini kuna baadhi ya wanasayansi wana claim kwamba 5G ni hatari kibinadam na kimazingira...
5G ina uwezo wa ku control mind.
Je serikali yetu imejipangaje hapa.