Recent content by Tosiri

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    Tuwe makini katika kujadili hoja kama hizi. Tukumbuke kuwa kama hujafanya utafiti wa jambo huna haki ya kulizungumzia hivyo huyu muweka hoja athibitishe anachokisema. CDM DAIMA
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nape/CCM wanachukia mwafaka?Hawajitambui

    Mtoto huongea alichotumwa na baba yake
  3. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    Napenda kushauri kumtukana mtu si hoja ya kujadili bali tatizo tulilonalo ndo tulijadili. TAFAKARI CHUKUA HATUA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA NI MIMI NI WEWE TWAWEZA
  4. T

    JamiiForums Tanzania Captain Phillips (2013): Filamu ya Tukio la kweli inayokufanya uwajue vizuri Maharamia wa Kisomali

    Nitaipataje naomba mwongozo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    Pamoja sana na wasaliti
  6. T

    JamiiForums Tanzania Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

    Tusi ni nini fuatilia kwani maana ya kitu hutegemea mtu anayetamka.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Vyama Mfu na jingle mpya ya UKAWA

    Fikiri kwanza labda we ndo umekufa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tumechoka kuandamana (sms sent)

    Nani atawaua waandamaji ukawa au intarahamwe
  9. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA pimeni upepo; wananchi wamechoka ngonjera zenu.

    Sizani kama tumechoka labda wewe ndo umechoka acha kukurupuka fanya utafiti kwanza ndo uongee
  10. T

    JamiiForums Tanzania JK kura 6mil ni sampling hata kwa waliojiandikisha achilia mbali watz mil 47+

    Tujue kuna shida sehemu mambo yasio na masilahi kwao ni halamu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Nakuunga mkono nipo tayari napatikana MUSOMA chuo kikuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Leo wamewakumbuka wanaoweza kujadili hata bure mbona kipindi wanadai ongezeko la posho hawakujua kuwa wapo aache unafiki.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Tuongeze maombi kama hao ndio washauri wa rais.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    Shida zinapozidi wokovu u karibu haya ni mapito katiba ya wananchi tunayo sisi wananchi wacha wapeane utajiri huko bingeni ila wakija tuwakatae.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya BASI, LORI, NOAH, HIACE na PIKIPIKI.

    Poleni wana abundant
Back
Top Bottom