Nahisi Jenerali angeandika makala yake kwa kiingereza neno upuuzi lingepungua ukali na kusomeka comical au entertainment. Tuache kupotosha maudhui ya ujumbe mzuri na wenye nia nzuri kwa kung'ang'nia literal meaning ya neno upuuzi.
We should learn to read between the lines so that we can unveil...
Big time , to me its a big deal. An intellectual from an oppressed society economically expressing his mind freely without fear or any hint of mental slavery or bondage from the neocolonists .
After all our currents beliefs and religions inclinations are nothing but historical,colonial and...
Neno ubinadamu lisiwe ngao ya kunyanyasa madaktari. Wao pia wana familia zao zinazowategemea na hawawezi kuewakabidhi kifurushi kinachoitwa "ubinadamu" ili kutatua matatizo yao wanachohitaji ni haki zao halali zitimizwe ili wakidhi mahitaji yao. Ubinadamu haulipi ada wala kodi ya nyumba.
Nchi yetu Tanzania yenye kujivunia amani toka uhuru 1961 pamoja na Afghanistan iliyopo vitani Kwa zaidi ya miongo miwili sasa ndio zinaongoza kwa upokeaji misaada toka nchi za magharibi. Tumeifanyia nini misaada hiyo ? In return tumekabidhi mali asili za nchi yetu at a nothing !
Atiwe mahabusu na nani ? Tumezoea uongo kwa kiwango kikubwa hadi tukisoma au kusikia ukweli tunazizima kwa hofu. Jenerali shujaa wetu endelea na wokovu wa wa wadanganyika
You are absolutely right. James Ole Millya can and has always taken the BULL by the horns.
Courageous,fearless,patriotic and always believe in what he is preaching. Nor has he ever been intimidated by the establishment. . .
Hukubaliani na nini ndugu ? Kwani hao viongozi wa kiafrika wanapigiwa kura na wazungu au sisi waafrika wenyewe ? Wakijitokeza watu wenye sera safi munawapiga vita na kuwaita wadini.wakabila,wachochezi au wavurugaji wa muungano. . .
Gamba au si gamba Mh Lowasa kama mtanzania ana haki ya kupiga au kupigiwa kura. Mpaka hapo haki hiyo itakapobatilishwa na mahakama au vikao husika vya chama chake hatupaswi kumuhukumu humu jamvini. Na hata chama chake kikimkatalia nna uhakika katiba mpya itampatia haki hiyo kupitia mgombea binafsi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.