CHADEMA waomba msaada kwa mataifa ya nje

CHADEMA waomba msaada kwa mataifa ya nje

Hivi misaada ya Conservative kutoka kwa kina Cameroon Uingereza mmeona midogo mnatafuta mingine..

Lakini mtambue lazima misaada kuwepo na masharti kutoka kwa anaetoa msaada.

Mfano misaada ya Conservative masharti yake lazima mkubali ushoga. Na nyie ndio wafadhili wenu wakuu..

Hapo kwenye red mkuu,
Kwani ile msaada wa mabilioni uliotolewa na uingereza kwa serikali ya ccm miezi miwili iliyopita wakati mjadala wa ushoga ukiwa unaendelea unataka kusema kwamba hicho kipengele cha ushoga serikali ya ccm iliiridhia? Chadema katiba yetu inazungumzia familia, hatutambui ushoga. Ni swali tu.

Sasa kuiongoza nchi yenu mnataka msaada kutoka nchi nyingine?mbona kama hapa sijawaelewa Magwanda.Msaada upi huo hasa mnaoutaka?na siku hizi hakuna vya bure mmejionea wenyewe US na UK wanataka tuwe mapunga.
Mkuu,
Hivi unajua kuwa serikali ya ccm inategemea wazungu kwa zaidi ya 30%. ya bajeti yake?
 
Hapo kwenye red mkuu,
Kwani ile msaada wa mabilioni uliotolewa na uingereza kwa serikali ya ccm miezi miwili iliyopita wakati mjadala wa ushoga ukiwa unaendelea unataka kusema kwamba hicho kipengele cha ushoga serikali ya ccm iliiridhia? Chadema katiba yetu inazungumzia familia, hatutambui ushoga. Ni swali tu.

Jibu swali la msingi Chadema hakufadhiliwa na Conservative, chini ya Cameroon, pesa na Magari, Pikipiki, baiskeli kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliopita?
 
Misaada mtapewa lakini hofu yangu ni kwenye malipo,mtawalipaje?

teh teh watawalipa ******, CAMEROON sio ndio sponsor wao, maana nasikia hata LEMA kule kisongo walimnanihii:embarassed2:
 
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??

Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????

kazi ipo.
 
Nchi yetu Tanzania yenye kujivunia amani toka uhuru 1961 pamoja na Afghanistan iliyopo vitani Kwa zaidi ya miongo miwili sasa ndio zinaongoza kwa upokeaji misaada toka nchi za magharibi. Tumeifanyia nini misaada hiyo ? In return tumekabidhi mali asili za nchi yetu at a nothing !
Hivi misaada ya Conservative kutoka kwa kina Cameroon Uingereza mmeona midogo mnatafuta mingine..

Lakini mtambue lazima misaada kuwepo na masharti kutoka kwa anaetoa msaada.

Mfano misaada ya Conservative masharti yake lazima mkubali ushoga. Na nyie ndio wafadhili wenu wakuu..
 
Kukaa kimya nalo ni jibu la mjinga...
 
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??

Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????

kazi ipo.

Na wewe mwarabu koko mambo ya wabantu yanakuhusu nini?
 
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Makamu mwenyekiti - Arfi----- mchagga
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
Naibu Katibu - Zitto ----- mchagga
Mwenezi - Mnyika ----- mchagga

mwenyakiti Bavicha ...... ?? ----- mchagga

Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...???? ----- mchagga

hadi mbunge aliyefariki ni mchagga na atazikwa kwao huko kilimanjaro

kazi ipo.

Kweli kazi ipo; halafu wote wakristu!!!
 
Mi nilijuwa ni Serekali ya TZ tu ndio Omba Omba kumbe na nyie ndio wale wale.
 
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??

Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????

kazi ipo.

Maalim Seif hajambo?
 
Mi nilijuwa ni Serekali ya TZ tu ndio Omba Omba kumbe na nyie ndio wale wale.

Kama tuliwasaidia Msumbiji/zimbabwe kumwondoa mkoloni kwa nini mataifa rafiki yasiisaidie chadema kulikomboa Taifa?
 
Mwenyekiti - Mbowe ------mchaga.
Katibu Padre Slaa ------mtu wa karatu
mwenyakiti Bavicha ...... ??

Katibu Bavicha ---Mchaga
Mwenyekiti wanawake ----- Mchaga
katibu wanawake ...????

kazi ipo.
Huyu hapa, mmojawapo wa viumbe ambao wanakimbilia kuangalia ni jina la wapi na dini gani!!! Kwa akili yake mtu kutoka Karatu hafai, na kwa unafiki wake na wa asili yake hatawataja hapa wengine kina Lissu, Zitto, Mnyika,Arfi, nk...
 
Kama tuliwasaidia Msumbiji/zimbabwe kumwondoa mkoloni kwa nini mataifa rafiki yasiisaidie chadema kulikomboa Taifa?
Angalia akili yako ilivyo, hao marafiki unao wafata ndio wale wale wakoloni.
 
Angalia akili yako ilivyo, hao marafiki unao wafata ndio wale wale wakoloni.

Angalia akili yako ilivyo hao marafiki unaowafuata ndio wanakuhonga suti
 
Back
Top Bottom