Recent content by Topical

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto!

    Hawajakosea hata kidogo, kanuni na katiba ya chama ndio tatizo... chama kina wenyewe
  2. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Hakuna muuingiliano hapo..hukumu isiyotambulika kisheria ni as good as hakuna hukumu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Trust me time siyo issue tutadai milele na tutaipata, wanasiasa wako kwa ajili ya kusolve society problems kama c.c.m nachadema watashindwa tuta opt kwa wengine
  4. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Si kwamba huelewi unameza maaigizo ya maaskofu bila kufikiri.. Wanataka hukumu za mahakama ya kadhi yatambuliwe kisheria (siyo kuendeshwa na serikali) Meaning: Kadhi akitoa hukumu yake iwe recognize na serikali.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Swali la Kizushi: Kwanini Buhari Hakusubiri Matokeo Rasmi Kutangaza Ushindi?

    Tanzania ni vigumu wananchi kulinda kura kwa ajili ya mgombea yeyote kwakuwa wote hawaaminiki..wezi na waongo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

    Walioko kwenye payroll ya Lowassa wengi akiwemo mtoa mada japo yupo Ukawa??? ni vigumu kuamini mwanasiasa wa upinzani in out anashupalia mambo ya chama tawala.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Hata kama serikali itaundwa na UKAWA waislamu watadai mahakama ya kadhi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    Wewe mkuu ni mweupe sana, issue hii itakuwa madai y waislamu forever, kama yatapuuzwa forever wata opt otherwise
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mkuu goodpoint, ndi maana tunataka serikali itambue hukumu za kadhi, hilo sijui wakristo wanaonani ngumu ..
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Shamba kila mtanzania anaweza kuwa nayo kwa kiwango kidogo cha pesa. siyo ajabu kwa mke waziri mkuu kuwa na shamba
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ewe Muislamu, Ikubali kwanza BAKWATA kabla ya kuihitaji Mahakama ya Kadhi

    nakuita mjinga
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wamebobea uchumi lala (sleeping economics)

    Ni kweli kabisa a. Nyumba za waswahili zilizo mikoheni, mbezi Beach na Kwingineko haziendani na viwanda walivyonavyo waswahili..assuming kiwanda kidogo cha M.700. (hesabu nyumba za zaidi ya hiyo pesa? b. Kuna tatizo la over emphasize on building houses kuliko kufanya investments
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

    Bandari ya Bagamoyo badala ya Tanga ni Bad decision mtazamo wangu Kupanua chuo cha IFM kwenda Msata ni Good Decision Kwa hiyo naomba usilinganishe hayo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Mimi siyo Daktari ni mfanyabiashara, Ila ninaona kuna opportunity hapa ninapoishi kuanzisha biashara ya Dispensary/Hospitali ya watoto. Naomba kufahamu masharti na mahitai yake? Inawezekana kwa mtu asiye Daktari kufungua hospitali na kupata faida? unawezaje kuwadhibiti Madkatari?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi Mwenyekiti Bodi ya TANESCO

    Amezingatia sifa au mashinikizo kutoka parokiani
Back
Top Bottom