Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

tumeskia ktk vyombo vya habari kuwa lowasa anakubalika kwa asilimia kubwa. Ila napata ukakasi ktk hili swala zito la richmond lililomtoa madarakani, moja ya swala tunalotaka rais ajaye awe nalo ni pamoja na uadilifu. Pamoja na kwamba ktk mawaziri wakuu naweza sema wote lowasa alionekana kuwa mtendaji (na wote tumelishuhudia hilo) je hili la richmond limekaaje?
 
Alifanya maamuzi magumu yenye harufu ya rushwa lkn kwa nia njema.
 
tumeskia ktk vyombo vya habari kuwa lowasa anakubalika kwa asilimia kubwa. Ila napata ukakasi ktk hili swala zito la richmond lililomtoa madarakani, moja ya swala tunalotaka rais ajaye awe nalo ni pamoja na uadilifu. Pamoja na kwamba ktk mawaziri wakuu naweza sema wote lowasa alionekana kuwa mtendaji (na wote tumelishuhudia hilo) je hili la richmond limekaaje?

Hata mimi kwa hilo huwa sielewi iwe vipi moksaji wa kiwango hicho bado awe na guts za kugombea urais na huku chama chake kikiwa kimya. mwizi ni mwizi tu hata iweje, hatufai kabisa mtu huyu.
 
Hayo alitakiwa ayaseme mapema wakati uleule, kukaa kimya nako ameongeza kosa la kukumbatia wezi wenzie, ajipange upya tena.
 
Naogopa sana kuchangia mambo humu maaana sijui kama ile sheria imeshaanza kutumiwa?
 
richmond sio big deal kivile,watu mnaishupalia tu kisiasa,hamna ishu hapo
 
Hivi kuwa Rais kuna maslahi gani ya ajabu? mbona unatafutwa kwa gharama kubwa hivi? Lowassa anatafuta urais hivyo ili atufanyie nini? kikwete alifanya hivyohivyo tunaona kinachoendelea. watu wa namna hiyo wasipewe nafasi.

Zaidi ya lowassa kwa sasa unaona nan anafaa tumpigie kura mkuu,maana watz wengi wameona Lowassa anazo sifa za kiti hicho,weka jina yule unaona anafaa zaid yake tumpime
 
Walioko kwenye payroll ya Lowassa wengi akiwemo mtoa mada japo yupo Ukawa??? ni vigumu kuamini mwanasiasa wa upinzani in out anashupalia mambo ya chama tawala.
 
Back
Top Bottom