Recent content by Topi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    pole. migogoro ya aina hii iko nyingi. mkalishe chini tena kwa mara ya mwisho. kichepuko hiyo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Atafia mikononi mwangu

    Kwanini umeweke jukwaa la mapenzi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

    Babu hakika yupo juu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Shamba la bibi
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Ndugu ya Lengeju siwezi kuwa muathirika wa kutoajiri hapo. Nina kazi nzuri tena kwenye shirika kubwa la kimataifa na nina miaka chache kustaafu na maisha mazuri. Rudi changia mada au wameshakupa mshahara?Halafu una dalili kwamba unakuja ID tofauti.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Simba Mangu, acha bangi zako na wewe nimesema siyo mimi MANYERERE SOMA GAZETI LA JAMHURI LA TAR.11 MACHI 2014.ACHA KUKURUPUKA KAMA NGIRI. ISITOSHE SIJATUMA MIMI WAKAIBE
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa askari wa mradi wa faru wa JK wanukia Ngorongoro

    Safi mhasibu wa kaghasheki. wakale zile walizoiba wamasai wakiwa wanakufa njaa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Fataki mkubwa wewe. Peleka bangi zako huko. kumbe ndiyo maana zero nyingi nchi hii. Kazi kugegedana na wanafunzi na jela utakwenda wewe subiri.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Binti huyu kituko

    Picha ya sehemu hizo nyeti tafadhali. Atakuwa FISI MADOA/SPOTTED HYAENA.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe walicopy hapa

    Arushaone wewe jembe. Nimekukubali.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotumia au waliotumiaTecno P5

    Hicho kirusi/virus mkuu.tecno nimeikubali.iscan simu yako mkuu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe walicopy hapa

    Uko sawa mkuu ila inaonyesha wewe kilaza wa ndege huyo si tahi/vulture bali ni mwewe/eagle.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Arusha night park yafurika baada ya mlipuko!

    Bangi za Matejoo
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya BASI, LORI, NOAH, HIACE na PIKIPIKI.

    Poleni ndugu wa marehemu na ndugu wa NYUMBU a.k.a wahifadhi
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa kikabila Loliondo, nahitaji kufahamu chanzo chake.

    Napita tuuu!!subiri wamasai na wasonjo wakupe majibu.
Back
Top Bottom