Recent content by Topetopeni

  1. T

    Tamasha la miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Njoo home kwangu basi uishi, kuna vyumba havina watu
  2. T

    Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

    Mtoa mada unachanganya madesa, elewa kwamba kuna 1. Mnikulu wa Ikulu 2. Kuna mwandishi wa hotuba za Rais 3. Kuna Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu 4. Kuna katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu 5. Kuna Katibu binafisi wa Rais Sasa basi,kila mtu ana majukumu yake kwa nafasi yake!
  3. T

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Wewe ni Lilian Ngumbo, mmiliki wa kimiminika bar,tuliza ball,Mzee Gumbo hana nguvu tena
  4. T

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Kawambwa na JK ni ndugu kabisa wale! Kijana atajua,hajui! Watampoteza kwa msala watakaompa
  5. T

    Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

    Diva the bowse na mme wake walikwenda pale,na kuna wakati walisema kabisa wawakilishi kutoka wachafu media,akaenda Diva
  6. T

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Hatari sana! Mimi kuna siku,niliuliza kwa brother,huyu jamaa ni mmoja ya Presenter anayelipwa pesa nyingi Tanzania,mbona yuko hivi?? Maana nilijua labda ana nyumba hata huko Goba au Madale,bother aliniambia achana na maisha ya watu!
  7. T

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Harrier old model,New Model au tako la nyani??
  8. T

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Bro,ana maisha flan hivi anapenda kujificha,hata tukiwa bar,hawezi agiza rundo la beer,yeye ni beer moja baada ya nyingine!
  9. T

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Mwaka 2010,nilipata demu mkali hatari,alikua anasoma IFM,nilimpa pesa,mitoko ya maana sana,kipindi hicho City Garden Dar Es Salaam na Club Bilicanas zinakimbiza balaaa!! Siku moja baada ya miezi sita akasema nakuja kwako,nikasema leo ndiyo leo,labda awe period la sivyo nakula mzigo! Demu...
  10. T

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Tulikua tunakutana sana pale Triple Seven,brother wangu ndiyo alikua mshikaji wake! Kuna siku Gardner alimpaisha brother kwenye kipindi cha Jahazi,bro hakupenda
  11. T

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Hii sina taarifa yake! Unaweza tupia walau kapicha ka hiyo ndoa ya kanisani kati ya Mama Caren na Gardner?? Maana siyo rahisi uwe na ndoa ya kanisani halafu ufunge ndoa nyingine tena hata kama ni serikalini,tena za kristo! Mama Caren lazima angeweka pingamizi la ndoa
  12. T

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Hasanoo hazikua Ngada,ni Walikua wanaiba Shaba zile kutoka Zambia! Pia Hasanoo na Msoga ni Family friend ndiyo maana alitoka
  13. T

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Walizaa tu mtoto,ndiyo maana alifunga na Jay Dee, na baada ya ndoa na Jay De kufa,hakuweza tena kufunga ndoa,and now Jay De yuko huru kufunga ndoa sasa
Back
Top Bottom