Wakuu naombeni msaada kwa mwenyeji wa mkoa tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo CBE dar es salaam.
Kutokana na ajira Kuwa ngumu nimeamua bora nijihusishe na kilimo cha karanga kutokana na utafiti nilioufanya juu ya zao hili.
Nimeamua kulenga mikoa ya kusini kwasababu ndipo zao hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.