Juzi jumatatu tarehe 07/01/2019,alikuja mkuu wa mkoa na wasaidizi wake,walileta sheria mpya kwa makazi ambaya hayajapimwa,amesisitiza ya kwamba walikaa na Mh,rais amewatuma kutafuta pesa. Sasa wao wamekuja na mpango wa kuwapimia watu viwanja vyao,lakini wanasema wakija kwako ,hilo eneo lako...