Wazungu waingereza/ wajerumani walikuja na Bibliab kitabu kitakatifu Africa.
Moja ya Amri 10 toka kitabu hicho ni
thou shalt not Kill
Thou shalt not steal
Ni wangapi waliuwawa iwe Tanganyika au nchi yoyote wakati Afrika akidai uhuru wake?
Ni mangapi wakoloni walikwapua (wizi na uporaji wa mali za Afrika na Tanganyika ikiwemo)
Ukiona watu ambao hata amri 10 za Mungu hawakuziheshimu wakati wanaleta Ukoloni na sasa sheria za kwao zinawaruhusu wanaume kugeuzana in the name of "Human rights"
Hao wakoloni wetu wa zamani on serious notice; hawana moral authority kutueleza haki za binadamu.
Wasifanye kile wahubiri wanasema fuateni script yangu na msifuate matendo.
Matendo yanazungumza kwa sauti kuliko documentary zenye narratives zilizo sugar coated