Hey,jaman mbona watz tunakua hivyo?huyu dada anatafuta faraja au tulizo la moyo wake ss tunamkatisha tamaa,laiti ungekuwa ww ungejisikiaje?ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake kama halikuhusu achana nalo,eboo acheni hizo bhana,wapo nini maana ya utandawazi?dada hebu ni PM achana na wasioelewa...