Recent content by tononeka

  1. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Wazo la Bohari naona ni zuri, ngoja niongeze kwenye Tangazo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Mimi nakubaliana na wewe. Nimejenga majengo ya shule ina madarasa matatu eneo la mbezi Luisi, wanaokuja kukodi wananilalia. Hata faida siioni. Sasa hivi nimewatimua naikarabati natafuta wapangaji wengine. Safari hii Nataka niweke na matangazo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Genymotion, emulator bora ya android kwenye PC

    Kwa hiyo hii si kwa ajili ya simu zote za android au?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Hivi kuna redio streaming inayorusha matangazo ya bunge?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Scholarship za kwenda kusoma Uchina

    Umeingia site yenyewe ukaona ninayoyaulizia au umejibu tu kwa kutazama link!!? Inavyoonyesha sio site ya ubalozi na ingekuwa vizuri kama utajibu ukiwa unajua unajibu nini
  6. T

    JamiiForums Tanzania Scholarship za kwenda kusoma Uchina

    Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania wanatoa schoolaships kwa vijana wanaotaka kwenda kusoma china. Kuna mtu yeyote anajua chochote kuhusu hawa jamaa. Ni wa kweli au ndio utapeli?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Aisee unasema wiki wakati inaenda wiki ya 3; morogoro rd yote hakuna maji!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Hivi kuna tatizo gani wiki ya 3 maji hayatoki? Dawasa mnafanya kazi gani? Mnyika upo au umetutosa hadi magonjwa yalipuke!!!!? Kwa kweli inasikitisha sana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Program ya kusomea gps cordinates

    Mlimani city vinauzwaje?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta GPS Track kuweka kwenye gari

    Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker? Mwenye kujua naomba maelekezo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Program ya kusomea gps cordinates

    Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sitta awaponda UKAWA mbele ya waandishi wa habari

    hapo nani bora kati ya sita na makinda?
  13. T

    JamiiForums Tanzania kaseja kupelekwa TP Mazembe kwa Mkopo

    Nimesikia habari kuwa Yanga wanampeleka Kaseja TP Mazembe kwa mkopo, je kuna ukweli wowote!!? Mwenye taarifa kamili atujuze.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Toa maoni: Vyuo vya uuguzi vyafungwa

    Vyuo gani hivyo?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais JK atembelea na kukagua jengo la bunge kuangalia jinsi wabunge wa katiba 600 watavyokaa

    Sasa huyu Ndugai ujanja wote akikutana na Kikwete anakuwa hoi!! Yaani picha zote mkono kaweka tumboni utafikiri mtoto wa shule, yaaani hadi anaboa, kama ni heshima; heshima gani hiyo khaaaaaaaaa!
Back
Top Bottom