Recent content by Tonnince

  1. T

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Iko poa mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Mgeni ili afike chooni anazunguka sehemu mpaka almost chumbani ambako ni private space
  3. T

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    1. Prayer room ndogo sana kama store [emoji16] 2. Public toilet iko mbali sana na lounge
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Currently sina mkuu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    Noma sana. Hiyo concrete gutter katikati huwa naona bora ikae pembeni na sio katikati kama ivo. It's my opinion.
  6. T

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Choo cha public kipo mbali sana. Jaribu hapo kwenye hicho chumba ambacho ni self contained, hicho choo chake ndio kiwe public halafu self contained room kiwe kile kingine huko mwishoni. Halafu sijaona sababu ya kuweka mlango hapo ulipopaita walkway. Halafu chora kwenye hiyo AutoCAD kabisa kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    1. Hakuna ulazima wa kuweka mlango kati ya dining na kitchen 2. Mlango wa Public toilet ingekua mwanzoni hapo ingekua poa zaidi. 3. Very long corridor ni wastage of space. 4. Ingekuwepo opening kati ya corridor na sitting room ingependeza 5. Mlango wa kitchen na lounge ifungukie nje...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza simu ali express

    Sio poa kabisa. Lakini version nyingine za Nokia ziko vizuri so anaweza akajaribu ila sio hiyo. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza simu ali express

    Mkuu nokia 6.1 plus zina shida ya system charge especially kwenye charging port na zinasumbua kweli. Nimeshaizika yangu mkuu. Kama unataka simu ya Nokia nakushauri tafuta nyingine sio hiyo 6.1 plus na usome reviews za watu wengi mtandaoni.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Aina ya Magari tununuayo na tuyatafutayo zaidi Watanzania

    Toyota Raum nazo zimekua nyingi sana siku hizi. Try to observe
  11. T

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

    Mkuu njoo umlipe mtu milioni yake
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na architect

    Sawa mkuu ile ingekua vizuri kama ungeweke overall cost ya jengo moja.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na architect

    Mkui sidhani kama uwezekano wa kukamiliaha nyumba ya ghorofa mbili mpaka fininshing kwa 24M.
Back
Top Bottom