Poleni na mihangahiko wakuu, kuna kaswali hapa naombeni msaada wenu.
"Group, partnership and relation supplies and compititors support in identifying marketing opportunity discuss"
Shikamooni wakubwa zangu mdogo wenu naomba ushauri kidogo kutoka kwenu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 naishi hapa dsm ila mpaka muda huu bado naishi nyumbani kwa wazazi, kwa umri wangu nshaona kuwa najiendekeza sana mana mpaka sasa ningekuwa najitegemea na mimi niwapunguzie mzigo wazee.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.