Recent content by Toni 1

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Mmmmm!!!! Madam yamkini ni kweli au si kweli anaomba ushauli afanyeje?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

    Nataman nifike kwa Mch. Antony Lusekelo mzee wa upako
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Wanawake wenye hekima utawatambua tu. Ikiwa ataufanyia kazi huu ushauli ATAPONA
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote mkoani Moshi, mambo magumu kwangu

    Nyie msaidieni mwenzenu naona maswali mengi wakati umeelewa alichokiandika
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kununua

    Vizuri sana ila ungetafuta madalali ungekipata haraka sana
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Nenda ukaombewe yamkini ni jini mahaba
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa chama cha waendesha bodaboda Iringa anamtaka mke wangu

    Mwambie tu ukweli ukizidi kukaa kimya utakuta ngedele amemaliza shamba
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia 80 ya wanawake na ukiangalia 99 ya wanaume kwa tendo la ndoa wanapishana Katika Kuenjoy.

    Etiii nyie akina Dada ni kweli anavyosema huu jamaa au anawasingizia tu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    Pole sana Dada yangu kwa yanayowasibu ila Mungu ni mwema sana hatawaacha muaibike
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Msiseme Mnaonewa, Njooni Muone Tofauti

    Wajibu wa mwanaume ni kumtimizia mwànamke mahitaji yote
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubinafsi: Kati ya mwanaume na mwanamke ni nani mbinafsi zaidi?

    Ubinafsi ni mtu mwenyewe sio wanawake tu hata sisi wanaume wapi ambao ni mabingwa kwa ubinafsi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Ndg. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA

    Na yeye awe lakini asije akachongewa
Back
Top Bottom