Nahitaji kazi yoyote mkoani Moshi, mambo magumu kwangu


kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,433
Likes
3,637
Points
280
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,433 3,637 280
Nahitaji kazi yoyote kwa muda wa mwezi huu mmoja either Boma, Sadala, Machame, Moshi mjini.

Fani yangu ni mwanafunzi wa chuo kwa level ya diploma, Community Development ila nataka kazi yoyote kwa muda huu coz mfuko hauna hata senti tano.

Please nisaidieni mwenye kazi yoyote anipm
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,433
Likes
3,637
Points
280
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,433 3,637 280
Nahitaji sana yaani hata office cleaner
 
Jumbe Adarusi

Jumbe Adarusi

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
101
Likes
72
Points
45
Jumbe Adarusi

Jumbe Adarusi

Senior Member
Joined Oct 18, 2012
101 72 45
"Mkoani moshi" kisha "fan i yako no mwanafunzi wa chuo" dah
 
gmosha48

gmosha48

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
2,247
Likes
819
Points
280
gmosha48

gmosha48

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
2,247 819 280
Mkoani moshi ni wapi?
 
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
1,160
Likes
1,060
Points
280
Age
39
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
1,160 1,060 280
Mkoa wa moshi ndo upi huo?
 
T

Toni 1

Member
Joined
Nov 15, 2016
Messages
15
Likes
5
Points
5
Age
30
T

Toni 1

Member
Joined Nov 15, 2016
15 5 5
Nyie msaidieni mwenzenu naona maswali mengi wakati umeelewa alichokiandika
 

Forum statistics

Threads 1,274,116
Members 490,593
Posts 30,501,512