Recent content by TomJunior

  1. T

    JamiiForums Tanzania Alikiba atazidi kupitwa kila siku

    Diamond anasema na kiba kwa vitendo tuuu!! Hakika ni kweli mbio za panya huishia ukingoni!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Registration of SIM cards and the constitutional right to privacy in Tanzania

    very interesting:A S thumbs_up:
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua ugomvi wa ardhi.

    yule nduguye hana hati yoyote. maendeleo yote yamefanywa na baba, na kila document imeandikwa kwa jina la baba yangu mpaka meter za umeme zimeandikwa kwa jina lake na risiti zipo toka 90's. nashukuru kwa ushauri na msaada wa hapo juu, lakini kwa sasa ningeomba nipewe msaada kutokana na hii scenerio.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua ugomvi wa ardhi.

    alimwachia jumla bila masharti yoyote, nduguye hakutaka chochote wakati huo. baada ya biashara ya pamoja kumalizika kila mtu akaendelea na maisha yake mpka hivi karibuni. NB: ni ndugu wa mbali
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua ugomvi wa ardhi.

    Kwa ufupi mimi ni kijana wa chuo, nina ishi na baba na mama. Baba yangu ni mfanyabiashara, miaka 10-15 iliyopita baba alifanya biashara kwa karibu na mfanyabiashara mwenzie ambaye ni ndugu, katika makubaliano yao ya kumaliza kufanya biashara pamoja yule ndugu alikubali kumwachia baba yangu eneo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

    tanx learned bro.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    relax... Muombe mungu akupatie uvumilivu! Alaf ukipata rafiki onyesha unamjali na ucwe rahic kufanya mapenz na kila akuahidie kukuoa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania A long misunderstanding conversation

    hihiihiii... Da misunderstood gold mine! Nimecheka mpka machoz ymenitiririka!
Back
Top Bottom