Recent content by TOKOMEZA CCM2020

  1. TOKOMEZA CCM2020

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Kwa wafanyakazi ni wakati wa kupinga [emoji23]
  2. TOKOMEZA CCM2020

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    *Na TUNDU LISSU* Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake. Pesa hizo...
  3. TOKOMEZA CCM2020

    STRESS

    [emoji23]
  4. TOKOMEZA CCM2020

    A Police State

    Which way shall be suitable for a Police State to hear?
  5. TOKOMEZA CCM2020

    Jeshi la Polisi linakipendelea chama tawala

    Kufuaatia sintofaham inayoendelea nchini juu ya polisi kuuawa kizembe na majambazi huku wenyewe wakijiandaa kuua raia wanaodhamiria kutimiza takwa la kikatiba kuhusu maandamano na mikutano sept 1 kwa jina la ukuta; Haya ndio maoni yangu binafsi juu ya swala hili.. Na kwa kuanzia; nimejielekeza...
  6. TOKOMEZA CCM2020

    Magufuli, Uongozi ni kukubali mawazo mbadala

    Sio kuombewa sio shida aache
  7. TOKOMEZA CCM2020

    CCM kuanzisha TV na redio zao

    Maigizo yanaendelea
  8. TOKOMEZA CCM2020

    Magufuli, Uongozi ni kukubali mawazo mbadala

    Yampasa kutambua kuwa Urais ni taasisi ikiwa na maana ya kuwa maamuzi hayatokani na utashi wa mtu mmoja bali jopo tena kwa kufuata taratibu
  9. TOKOMEZA CCM2020

    Magufuli, Uongozi ni kukubali mawazo mbadala

    Rais wangu Mh. Magufuli nakuomba ujikumbushe maneno Haya, sina hakika sana kama ulisoma Uongozi ila hata washauri wako wanapaswa kukukumbusha kuwa Uongozi, > Sio kutoa Matamko yasiyozingatia masilahi ya Taifa (ya hovyo hovyo). > Uongozi sio kukaripia watu ili uonekane Rais. > Uongozi sio...
  10. TOKOMEZA CCM2020

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Hahahaha. Kama ingewezekana nilitamani hili shauri liwe linarushwa live kutoka mahakamani.Lissu anaweza kuwa mtu maarufu sana kuliko wote kipindi hiki
Back
Top Bottom