Recent content by tokomea

  1. tokomea

    JamiiForums Tanzania Simba malizeni biashara mapema

    Polen 4G
  2. tokomea

    JamiiForums Tanzania Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

    Sisi hatujielewi tunatoka wapi wala tuna kwenda wapi ..wacha wanaojua fursa wazitumie,umesahau kuwa kwenye miti hakuna wajenz?
  3. tokomea

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Hiyo tv saa 24 ni habar za chama..wacha waangalie wao na familia zao mm hata sijuagi kama inaoperate
  4. tokomea

    JamiiForums Tanzania Hii ndo hali halisi leo Arusha

    Ma tambiko mkuu!!
  5. tokomea

    JamiiForums Tanzania Sakata la Faru kutoweka Ngorongoro, Waziri Maghembe afukuzwe

    Hivi umefuatilia mwanzo mpaka mwisho wa matamshi ya wazir mkuu?au wewe mtoto wa waziri nini?tuache kukaa na kusubir kila kitu kufanyanyiwa kama wazir wa Maliasili alishalijua hili na akanyamaza kimya wewe unasema hakuna utaratibu wa kukabidhiana idad ya wanyama..hao faru miaka nenda miaka rudi...
  6. tokomea

    JamiiForums Tanzania Sakata la Faru kutoweka Ngorongoro, Waziri Maghembe afukuzwe

    Acha kumtetea waziri mzigo...alivyoingia either alikuta tayar au la lakin kama wazir alilijua na alilifumbia macho...tupe kule mzigo mkubwa ule
  7. tokomea

    JamiiForums Tanzania Vidonda

    Mimi vilishawahi kunitokea nikatumia limao...nilikuwa nakata limao vipande viwili alafu nalamba japo inauma lakin vinakauka haraka sana
  8. tokomea

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Ni aibu kubwa sana yaan Yule dada anajidhalilisha...lakin hata mkulu aliahid zile kesi za kodi zikiisha mapema judge mkuu atapewa fungu..na akawa mfano pia kwa polisi wa barabaran akawapa hela ya ku brush Viatu we unategemea nini apo!!! Wonders shall never end bhana
  9. tokomea

    JamiiForums Tanzania Mh Rais mteue Allan Kijazi wa TANAPA kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Kwenye utalii siku hizi ni full dili tu ..ukienda Kilimanjaro guides wanauziwa mountain id( lesen) bila kufanya trainee tena na mtu mkubwa tu wapi uadilifu wa hili shirika kijazi na maghembe wao kiguu na njia tu hawana jipya
  10. tokomea

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Ndo maana mpira Wetu haukui mnaibeba tim sio kwamba mnaisaidia Bali mnaua mpira wakienda mechi za kimataifa wanafungwa kwa sababu hakuna mbeleko!! Yaan ni aibu kwa maamuz kama yale
  11. tokomea

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi mlima Kilimanjaro lina haribu taswira ya utalii

    Kumekuwa na tatizo la wizi ndan ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro ndan ya wizi huo mara nyingi wamekuwa wakisukumiwa waongozaji watalii(guides) ili hali wahusuka wakuu wamekuwa na wafanya usafi(cleaner) wakishirikiana na askari(rangers) juzi kampun moja ya Arusha mgen wao aliibiwa fedha katika...
  12. tokomea

    JamiiForums Tanzania Aliyekwapua’ Sh. 51.6 milioni NMB matatani

    Itakuwa kuzim labda.. Nawaza tu
  13. tokomea

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Ha haaa nimecheka mbavu sina !!napita tu nitarudi siku nyingine
  14. tokomea

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Hata ukiwa na kichinjio haisaidii maana wao ndo wenye tume,majeshi watamuweka wanaemtaka na wembe ni ule ule..cha msingi tuamke tuache kulalamika na kulalama!!bila kuwa na sauti moja tutachezeshwa gwaride sana tu,ifike mahali tuseme basi inatosha kama mbwai na iwe mbwai(ukuta)
  15. tokomea

    JamiiForums Tanzania Arusha: CHADEMA yailambisha Shubiri CCM waliyoitengeneza wenyewe siri yafichuka

    Fisiem bhana !! Kupitisha wapitishe wao Leo kinawauma.. Ni sawa na sasa hv wanavyotaka kupitisha muswada wa habar wakizan wanawakomoa upinzan ngoje huko mbelen watoke madarakan uone povu litavyowatoka.. Wahead kbs
Back
Top Bottom