Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,879
- 2,557
Nitangulize pongezi kwa viongozi, benchi la ufundi, wanachama, wachezaji na mashabiki wa Simba SC kwa uvumilivu na mshikamano wao kwenye shida na raha.
Kuelekea fainali ya kombe la Mapinduzi, niwaombe kuendelea juhudi zile zile na ikibidi kubwa zaidi ili kuwaonesha AZAM na wengine kuwa Simba SC ina dhamira ya kurudisha heshima na hadhi yake ndani na nje ya mipaka yetu. Tuanze na hili na mengine yafuate.
Kwa nini iwe hivyo? Kwa kuwafunga Mkodisho FC tayari tumeongeza maadui lakini kwa kuifunga AZAM tena mapema, itarejesha heshima yetu hata kama hawatakiri kwa ulimi lakini nafsi zai zitaongea.
Nawatakia kila la kheri kuelekea mchezo wa kesho.
SIMBA NGUVU MOJA
cc: van Gaal