Leo tofauty media tumekuja tena na ishu nyingine,
Watu wengi huwa wanadahani kwamba mtu aliyetengeneza kirusi cha ukimwi VVU, amekwishafariki lakini hii sio kweli ni kwamba doctor huyu aitwaye ROBERT GALLO yupo hai na ana miaka 82 kwa sasa mwaka huu 2018, tazama historia take kwenye official...
Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu wenyewe kwa gharama isiyozidi elfu kumi,
Aidha nimetoa vitu ambavyo vinasababisha madhara hayo ya...
nishaelewa kinachokuchanganya, ni kwamba mimi nimepost kuhusu kuondoa harufu ya mdomo, na kuna mtu akareply kuhusu kutibu UTI. nnachotaka uelewe ni kwamba kwenye kutibu UTI ndo unatakiwa umeze lakini kwa harufu ya mdomo unaswakia tu
Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua domain lakini nimeshindwa kununua kwani wananiambia card yangu hairuhusiwi kufanya biashara ndani ya...
Ni kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia kuondolea harufu kwenye friji, kwenye nyama na hata nguo mpya
Lakini cha zaidi ambacho mimi ninataka...
Jamani wana JF nina tatizo langu ambalo nimejaribu ku-google nikashindwa kuelewa namna gani naweza kufanya.
Naombeni msaada wenu kwa yeyote yule ambaye anafahamu ni njia gani ambayo naweza kutumia kupost Audio yangu youtube ambayo inakuwa na mtiririko wa kuwa na picha halafu chini ya picha au...
Mambo vipi?
Katika mishe mishe za maisha nimekutana na watu wanaodai kwamba unaweza kutengeneza website ambayo watu wakitembelea tu, kulingana na MB zao wanazotumia kule basi unaweza ukazibadilisha kuwa hela hata bila kuwa na matangazo mfano google adsense
Na mimi nimekuwa confused KUHUSU hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.