Recent content by Todito

  1. Todito

    Mohamed Said ana siasa za kulialia

    Mkuu Mohamed Said. Nafikiri mtoa mada anazungumzia "kulia lia" kutokana na kusoma baadhi ya mabandiko yako huku jukwaani na kupitia mahojiano yako kadhaa hasa hiyo idhaa ya DW! Je ni kweli kwamba mtizamo wako bado ni huo kwamba waislam wanabaguliwa?
  2. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Ndio ilienda kwa mtu mwingine Bahati nzuri alikua bado hajatoa
  3. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Nashukuru wakuu! Nimegundua kosa lilifanyika Mtumaji alikosea namba moja Ujumbe niliopata ni direct kutoka kwenye Email maana Email ilikua sahihi ila namba alikosea naendelea kuwasiliana na voda haka kahela kasikukuu kasipotee. Ila nawashukuru JF ni msaada
  4. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Asante! Labda nivute subira Inawezekana Voda kwenye Worldremit inachelewa kidogo
  5. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Web yao wanasema inachukua Few minutes mpunga kuingia Ila bado mpesa Patupu...
  6. Todito

    Msaada: Nimepokea Pesa kutoka Worldremit kuja Mpesa lakini sijapata ujumbe wa Mpesa

    Kwema? Nimepokea pesa kidogo kutoka kwa rafiki yangu nje ya nchi na kwa sababu PayPal haipokei pesa Tanzania nikamuomba anitumie kupitia Worldremit. Tayari kanitumia tangu saa sita mchana na sasa ni saa kumi na nusu na nimepata Sms hiyo (Screenshot)ila salio kwenye MPESA hakuna kilichoongezeka...
  7. Todito

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    Watoto wa Chetezo na ubani altareni wamekua watu wa Pombe tu siku hizi. Vijana wa Shirika la Mtakatifu Aloyce na Vijana walezi wa Don Bosco wengi wao watu wa mademu tuu. Au sababu ya ule mvinyo altareni? Au sababu wakati wa Sherehe za Somo wa Jumuiya Baada ya Misa tunamuona Baba Paroko...
  8. Todito

    Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Sasa hivi! Mtoa taarifa umetisha.
  9. Todito

    Yupo wapi siku hizi?

    Geez Mabovu alifariki kama sikosei aisee. Solo yupo Bongo anafanya mishe za biashara na kurap kidogo Voice Wonder kweli huyo kapotea
Back
Top Bottom