Recent content by tocolyitics

  1. T

    JamiiForums Tanzania Machali, Arfi kugombea ubunge kwa ACT-Wazalendo

    Alisema k uwa ana wabunge wengi watamfuata kwa hiyo ni hao tu wawili?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya cha Mbunge Maarufu Aliyefukuzwa CHADEMA Hiki Hapa Live!!

    Zitto nilimuamini na kumuheshimu sana. Lakini mapenzi yangu Kwake imekuwa kinyume kwa sasa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Endapo UKAWA wakishinda October, wataunda Serikali ya mseto?

    Wewe kwani hilo linaleta shida gani huo ni umoja. Mbona Kenya waliweza wenyewe washindwe nini.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hujuma za TANESCO

    Weekend wanakata tangu asubuhi saa kumi na mbili unarudi lkn ikikaribia taarifa ya habari lazima pia ukatike mpaka iishe.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hujuma za TANESCO

    Siku kama kumi sasa kila ikikaribia taarifa ya habari ya saa mbili usiku umeme unakatika na kurudi mpaka taarifa ya habari iishe. Hapa Mwaza ndio madai ya wananchi wengi hawaelewi kwa nini mgao wa umeme ni wakati huo.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

    wekeni cv ya mwenyekiti wa muda hapa tuione.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

    Inaonekana kuna makundi ambayo hayana tija kwenye hili bunge.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

    hakuna kitu hapa sina imani na mikakati ya ccm km itatupa katiba.
  9. T

    JamiiForums Tanzania nitaomba ridhaa ya wananchi niwe diwani wa lutubiga Busega.

    Nilishawahi kuelezea ndoto yangu ya kugombea udiwani nilipokuwa bado nasoma katika chuo kikuu cha sayansi na tiba Bugando (CUHAS bugando). Actualy watu walinishambulia sana kwa nini nataka kuwa mwanasiasa badala ya kumaliza chuo na kwenda kuwatibu watanzania wanaoteseka. Ni kweli ningependa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Musa Leonard Mdede mwenyekiti mpya TAHLISO

    Hongera kamanda mdede. tunaamini juhudi zako zitasaidia sana chuo chako.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kambi ya upinzani, wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi

    Serikali ni noma, inajua kwa sasa watu wako bize na rasimu ya katiba mpya ndo fursa za kupitisha wizara mbovu. Haya bwana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM Kutokufanya mkutano inaashiria nini?

    Chama kimekufa na cha kuwaeleza wananchi hawana kwa sasa maana mitaji yao watu wameisitukia yaani umaskini na ujingaz!
  13. T

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Kiukweli msajili wa vyama vya siasa hatumuhitaji kwa sasa. Tume huru ya uchaguzi itafanya kazi hiyo.
  14. T

    JamiiForums Tanzania CCM, Madoka wa Kubumba na hatma ya jimbo la Busega

    kutofanya vizuri jimboni au Bungeni kisiwe chanzo cha kukashifu elimu za watu. Nani hafahamu kuwa Dr.Kamani ni daktari msomi tu na vyuo alivyosoma vinajulikana kabisa. Labda dr Chegeni ndo degree zake kidogo hazijulikani. Jimbo la Busega lina changamoto nyingi sana zinazochangia maendeleo kuwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa rais ungefanya nini?

    Wana jamvi kama tank la great thinkers tujaribuni kushauri ama kupendekeza mambo ya kufanya ili kunusuru hali tete inayotokea mtwara bila kuathiri usalama wa nchi na raia kwa ujumla! toa pendekezo kwa manufaa ya nchi bila kujali itikadi ya chama.
Back
Top Bottom