ustadhjuma
Member
- Apr 2, 2015
- 25
- 3
Siasa zachuki hazifai wakati huu tuwe watulivu matusi kejeli siwakati wake kama huwezi kuchangia kaa kimya nachokiona nimatusi yawana cdm na Act bas tubadilike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kulwa Mzee, Kigoma
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amewatangaza wabunge Moses Machali ( NCCR-Mageuzi) na Saidi Arfi wa mpanda mjini ( CHADEMA) kuwa ni wagombea wa ubunge kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu.
Zitto aliwataja wabunge hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Kigoma, ambapo aliwatambulisha watangaza nia mbali mbali na kusema kuwa sasa chama hicho kumejipanga kupambana na makucha ya unyonyaji wa rasilimali za taifa kwa kuwa na kikosi cha wabunge wenye uchungu na nchi.
" Leo kuna watangaza nia mbali mbali ambacho ni kikosi chetu , pamoja na hili napenda kumtangaza Saidi Arfi kuwa mgombea wetu wa ACT-Wazalendo Mpanda mjini na Moses Machali, Kasulu mjini," alisema Zitto na kushangiliwa na umati wa wananchi katika mkutano huo.
Chanzo: Mtanzania, June 18, 2015
nilifungua Uzi kuhoji huu utaratibu WA Zitto kuteua wagombea bila kufuata katiba nikaambulia matusi kutoka kwa hao wasaliti, masalia na vifisadi vya uvccm.wamepitwa bila kupingwa chamani kwenye hayo majimbo? ina maana ni marufuku mwana-ACT kutangaza nia kwenye hayo majimbo? wanatangazwa kabla hawajahama vyama vyao? hawzi kuwatia matatani?
hakuishia hapo tu akasema na wengine wanakuja
Vua ngwanda vaa uzalendo
acha uharo wako huo namsipende sana kunywa viroba vilivyo expire date..........................Chadema inakufa kwa kasi sana,mwisho wa siku itabakia uchagani tu
3.dr slaaMbona kawasahau
- John Magalle Shibuda
- Leticia Nyerere
Siasa mchezo mchafu,,na sio hao tu,wapo kibao wajameni,cdm wasipoangalia dogo atakibomo chama hawataamini.ndo maana viongozi wote wa cdm wa ngazi za juu wapo site kuhakikisha wanachunga kondoo wao vema
Mnashangaza kila atakaetoka chadema mtampa jina baya,lkn kwanini watoke?wewe mpiga debe nje hutoweza kuyajua ya ndani,chadema kina mambo mengi ya manyanyaso,naamini ht mbowe atoke leo chadema mtampa jina baya tu,ninachoamini kuwa wengi wa chadema watatoka tu japo kwa sasa wanafanya Siri lkn uwazi utabainika tu,hongereni kwa kuwa wazalendo.
Na Kulwa Mzee, Kigoma
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amewatangaza wabunge Moses Machali ( NCCR-Mageuzi) na Saidi Arfi wa mpanda mjini ( CHADEMA) kuwa ni wagombea wa ubunge kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 mwaka huu.
Zitto aliwataja wabunge hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Kigoma, ambapo aliwatambulisha watangaza nia mbali mbali na kusema kuwa sasa chama hicho kumejipanga kupambana na makucha ya unyonyaji wa rasilimali za taifa kwa kuwa na kikosi cha wabunge wenye uchungu na nchi.
" Leo kuna watangaza nia mbali mbali ambacho ni kikosi chetu , pamoja na hili napenda kumtangaza Saidi Arfi kuwa mgombea wetu wa ACT-Wazalendo Mpanda mjini na Moses Machali, Kasulu mjini," alisema Zitto na kushangiliwa na umati wa wananchi katika mkutano huo.
Chanzo: Mtanzania, June 18, 2015
Nyinyi mnaishi Dunia gani? Machali ameshakanusha leo asubuhi kwenye power breakfast clouds fm, amesema Zitto ni wa kupuuzwa.