Jambo ambalo hujaambiwa lisikiutie presha kausha, mchune Tena mchune kweli kweli ujijenge uwekw sawa ishue za wanao....kaa kimya utayajua mengi. Akili kumkichwa
Hahaha nyama ya chatu tamu sana
Sema Nini ulaji wa viumbe vingine bana...mtu mwenyewe aridhie
Tusilazimishane! Kila moja ajichagulie anachotaka!
Mfano me uduvi nakula huku udenda unadondoka ila senene....pyu siwezi kbs!
Ndugu, ukiacha pombe ambayo ni kiburudiaho pendwa kama kina sumu, kuna vitu vingi sana unavyotumia deile ni carcinogenic.....deile kuna kakitu unakaingiza mwilini ambako ni sumu ila hujui....anzia mboga mboga, rangi za kucha, sabuni antibacterial, unazooshea vombo....bado hujaja kwenye kuvuta...
Ni sawa singo mama.....
Ila Mimi nasshuhudua mmomonyoko wa maadili wa watoto wawili tofauti waluolelewa na singo faza Tena wenye maisha mazuri TU!
Leo wanatambulishwa kwa mama huyu kesho mama yule.....alimradi tafrani TU.
So nahitimisha kwamba singo parenting (singo maza, singo faza)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.