Recent content by toccara

  1. toccara

    Natafuta shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo Morogoro

    Mimi Nina heka 49 zipo kiberege morogoro unaweza kulima chochote
  2. toccara

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Mkuu na gharama za matunzo mpaka zianze kuzaa zimesimamaje? Nina shamba mkuranga kubwa ipo mikorosho ya asili kipindi hiki imefunga Sana yaani imejaza sana, nimewaachia vijana maana Mimi sijui wapi pa kuanzia ila Kwa uzi huu macho yangu yamefunguka.
  3. toccara

    Naomba msaada wa mawazo, atapata chuo au sehemu kurudia?

    Wow shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. toccara

    Naomba msaada wa mawazo, atapata chuo au sehemu kurudia?

    Asante Kwa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  5. toccara

    Naomba msaada wa mawazo, atapata chuo au sehemu kurudia?

    Asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. toccara

    Naomba msaada wa mawazo, atapata chuo au sehemu kurudia?

    Yes ananisaidia na ni mkubwa kwangu, nakuwa na uwakika watoto wangu wako salama kuliko kuwaacha na visichana vidogo visivyojielewa, wa kwanza nilianza na wa miaka 45. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. toccara

    Naomba msaada wa mawazo, atapata chuo au sehemu kurudia?

    Nina binti anayenisaidia kazi nyumbani ana umri wa miaka 30, ni mchapakazi Sana kazi za ndani hata za shamba yuko vizuri. Elimu yake ni kidato cha nne ila hakufanya vizuri ana D mbili alimaliza mwaka 2005. Kwa upendo wake kwangu natamani kumsomesha na yuko tayari, je anaweza kupata nafasi wapi...
  8. toccara

    Nauza shamba langu heka 100

    Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola, heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana. Sababu za...
  9. toccara

    Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

    Kariakoo karibia na kituo cha polisi namanisha pale msimbazi ndiyo kuna soko kubwa la tangawizi na vitunguu swaumu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. toccara

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. toccara

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    Aisee wanaume wa tz nimewashindwa Mi ndiyo maana sipakagi hayo kuogopa kujadiliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. toccara

    Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. toccara

    Naomba msaada kuhusu kilimo cha uyoga

    Hauhitaji shamba, Bali chumba au baada zuri na safi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. toccara

    Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

    Ni Muda mrefu sasa Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  15. toccara

    Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

    Aliyesema wamejaa watoto umesoma vizuri, basi kama ulimkuta wewe ni mdogo tuu, mimi nimeanza nae nimetoka nae kibiti Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom