Recent content by tobodunda

  1. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wana uwezo wa kutetea wananchi kuliko wa CCM

    We mwenyewe ni likwepa kodi..Pension itapatikanaje?
  2. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Teketea kwanza usitegemee msaada
  3. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Eti unavunja Sheria za nchi...unategemea Jaji akuchekee chekee tu..Eti kisa wewe ni Mpinzani...Eti ukifungwa utaandamana..Eti utasema umeonewa.. Na Serikali ikuache tu...Hiyo imekua Serikali ama Kikundi cha Ngoma cha kwenu???? Sukumaaa ndaniiiiiii
  4. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Wazee wa Ngendembwe Hahahahah
  5. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hahahah kawaida yenu. Ngumu kumezaaaa
  6. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ndo mwisho wako wa kufikiri? Familia yako imepata hasara
  7. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

    Kwani we ulitakaje? Unaipenda hii nafasi?
  8. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Huyu mzee nimemfuatilia tangu ameingia madarakani ni zaidi ya balaa...Miradi inayotekelezwa na Serikali yake haijawahi tokea nchini. Hv unakumbuka wakati anaingia madarakani ? Alipoanza kutumbua kwa kwenda mbele. Akarudisha nidhamu katika Ofisi za umma. Ubadhirifu wa mali za umma kwa kiasi...
  9. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu inaniandaa kuwa muasi

    Kapige kazi familia yako ipate mahitaji muhimu... Usiwazwe uzwazwa ambao hautakusaidia chochote
  10. tobodunda

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Funga bakuli lako nawa miguu ukalale
  11. tobodunda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mwenendo wa kesi yetu unatia ukakasi katika utoaji haki. Tunaiomba Mahakama iangalie jinsi kesi inavyoenda na ijiridhishe

    Nimeona Press conference ya CHADEMA waliyoifanya leo tarehe 23/11/2018. Yaliyotokea yamenisikitisha sana. Yan Dr Vicent Mashinji msomi na kwa makusudi kabisa anataka kutudanganya watanzia. Yaani bila aibu analeta siasa katika mambo dhahiri kabisa. Ntadadisi baadhi ya hoja alizozitoa. 1...
  12. tobodunda

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Sawa wewe Muhindi..Mpuuzi ++
  13. tobodunda

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Hahaha mbona kama umepaniki? Relax mzee acha magu aendelee kukunyoosha
  14. tobodunda

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Kwa watu wenye akili wanaelewa maana ya vitu hivi...kwa mazwazwa kama nyinyi hamuwezi elewa hadi masiha arudi
  15. tobodunda

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Vp walisema wanatudai tena?
Back
Top Bottom