Wabunge wa upinzani wana uwezo wa kutetea wananchi kuliko wa CCM

Ole Mushi ndio dubwasha gani jamani. Wabunge wa CCM ndio wenye uwezo wa kukutana na wataalamu wa nchi hii ndio maana huwa hawafanyi siasa za kiharakati.
Mtumishi akishaelewa kuwa haibiwi Pesa yake huwa hana shida
 
Bado ubabe wa kutukana umebakiza siku chache hapo ndipo utamsikia akiwaita watu ndugu na kuwatafuta walipo. Muda kitambo ataonja vya Masha
 
Back
Top Bottom