Recent content by Tobin Frost

  1. Tobin Frost

    wadau mwenye nyimbo za university corner

    Za kupigia puli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tobin Frost

    Oldschool:Msaada wa hizi nyimbo University Corner(UVC)-Usinicheke,Waswahili-Yupi Bora kati ya ndugu na rafiki

    Uko vizuri mkuu..kuna wimbo wa university corner siukumbuki jina ila baadhi ya lyrics ni "university corner we represent, wanaotusema and who says no...." kama umeupata naomba jina lake mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tobin Frost

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    90mx4=36m[emoji777] 90mx4=360m[emoji818]
  4. Tobin Frost

    Ndumba za kuwawezesha kuona mambo yatakayo tokea mbeleni

    Mambo yatayotokea mbeleni yajumuishe na matokeo ya mechi ili tunaobet tupige hela
  5. Tobin Frost

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Yah kwenye movie inaonekana sana, nimeichek pia kwenye Quantico pale Perish alipokosa mtu yeyote wa kumwamini katika FBI akaamua kujielekeza huko kwenye dark web
  6. Tobin Frost

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Duh GPA kama yangu
  7. Tobin Frost

    Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Fedha kukaa kwenye fixed akaunti ni sawa, taasisi za kibenki hutumia fedha hizo kuzikopesha kampuni zinazofanya uwekezaji wa muda mrefu katika nyanja mbalimbali za kibiashara na hvyo kukuza uchumi
  8. Tobin Frost

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Kweli kanipotezea muda nimejitahd kusoma mpaka mwisho walau nipate dhana alokusudia lakini wapi Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  9. Tobin Frost

    Mwanamke wa Dar

    Ni shida
  10. Tobin Frost

    Muhongo: Mimi Bado Waziri!

    Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda
  11. Tobin Frost

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tatizo mfipa mwenzako ulokole umezidi anafikiri pengine uo ulokole utamsaidia kuleta umeme na maji Inyonga au pale kwake Kibaoni au kumjengea lami Inyonga to Mpanda. Namshauri awe bepari tu kama mawaziri wa kaskazini yaani nyumbani kwanza.
Back
Top Bottom