Recent content by Tizeba

  1. Tizeba

    Mikoa yenye vyumba vya kupanga vya bei rahisi

    Wakuu hali yangu imekua ngumu kidogo.Naomba kujuzwa wenyeji wa mikoa ifuatayo kama naweza pata chumba cha umeme cha bei rahisi. BAGAMAYO MAFIA PWANI LINDI Chumba cha umeme cha bei nafuu kabisa nitapata kwa sh ngapi. Nataka nibadili Kambi ya utafutaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tizeba

    Anatafutwa mtaalamu wa usajili na usimamizi wa vicoba

    Wakuu tuna kikundi chetu cha watu 15,tunataka kuanzisha vicoba. Tunashida na mtaalamu wa suala hili ambae atatusaidia taratibu zote ikiwamo 1)Usajili wa kikundi 2)Uandishi wa katiba 3)Semina elekezi Kwa yeyote alietayari kufanikisha kazi zote hizo apo kwa gharama nafuu ,anitumie mchanganuo...
  3. Tizeba

    Niuzie smartphone kwa 100000

    Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri. Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo. Bajeti:100,000/= Nipo Dar
  4. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Siwezi kuweka no yangu,itakua usumbufu...sababu humu wengine kazi yao kuzingua watu
  5. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Napatikana ukonga,njoo pm
  6. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Ofa autakuja kujutia ela yako ,ni shida tu wakuu
  7. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Mali ni ya uhakika,na utakuja mpaka ninapokaa na kuchukua nyumbani
  8. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Wakuu nimeshusha bei Nina shida ya haraka sana Vyote TV na deki 300,000/=
  9. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Aina tatizo lolote,nimeitumia zaidi ya miezi 6...kwa ufupi ni shida tu lakini IPO fresh
  10. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Hapana mkuu Nina shida na 400k,isipo timia ntakua sijafanikiwa lengo langu,kunashida imenikamata
  11. Tizeba

    Samsung inch 32 kwa bei rahisi

    Wakuu nauza Samsung TV inch 32 pamoja na deki ya sing sang .bei 400,000/=kwa vyote. Napatikana dar,bei ni fixed...hakuna punguzo Anaeitaji njoo pm
  12. Tizeba

    Huyu Beki 3 nimfanyeje?

    Piga shoo ya kibabe
Back
Top Bottom