Anatafutwa mtaalamu wa usajili na usimamizi wa vicoba

Tizeba

Member
Aug 17, 2017
12
5
Wakuu tuna kikundi chetu cha watu 15,tunataka kuanzisha vicoba.

Tunashida na mtaalamu wa suala hili ambae atatusaidia taratibu zote ikiwamo

1)Usajili wa kikundi

2)Uandishi wa katiba

3)Semina elekezi

Kwa yeyote alietayari kufanikisha kazi zote hizo apo kwa gharama nafuu ,anitumie mchanganuo wa gharama kupitia,

Willbroad47@gmail.com[/USER]

Tupo, Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom