kwa anahitaji tiles na vyoo vya kila aina kwa ajili ya ujenzi au biashara kwa bei ya chini kabisa kutoka kiwandani moja kwa moja wasiliana na mimi..0766407555..
Nahisi kabisa zile siku saba zilizotolewa zilikuwa maalumu kwa kulibeba shirika la UDA haswa baada ya kupata wakati mgumu wa kuwawajibisha wamiliki wa shirika hilo na ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwaweka hadharani ili wafahamike. UDA limekuwa jipu kubwa sana aise..
"Bakhresa katuhumiwa tu...
siasa ni mchezo wa kuchezea watu akili,JIPU LA UDA LIMESHINDIKANA naona wanatoa siku saba...baada ya siku 7 tutaskia UDA haidaiwi tena kodi na mmiliki hatotajwa...
Kama Magufuli utakuwa unawawajibisha watumishi kwa kuangalia makosa waliyofanya kwenye serikali zilizopita, sioni kama kuna hata haja kufanya ziara za kushitukiza maana hakuna atakaepona!
"Fukuza wote anza kuajiri upya"...save time!
1.naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi
2.naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa
3.naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni
4.naona biashara nyingi zikidoda(manunuzi kupungua)
5.naona watanzania wengi wakikimbilia vijijini baada...
1. Naona wawekezaji wengi wakifunga makampuni yao na kukimbia nchi.
2. Naona mzunguko wa pesa ukipungua kwa kasi kikubwa.
3. Naiona tanzania yenye watumishi wengi wa uma wakiwa na maisha duni.
4. Naona biashara nyingi zikidoda (manunuzi kupungua)
5. Naona watanzania wengi wakikimbilia...
kwa kutekeleza dhana yako ya kupunguza gharama zisizo na tija,ningependekeza uwafutilie mbali wakuu wa wilaya wote na badala yake wilaya ziwe chini ya wakurugenzi tu...pia naomba utubadilishie mkuu wa mkoa wa dsm kwani jiji hili linahitaji mtu mwenye kaliba kama yako ili lisonge mbele kimaendeleo..
ni watu wachache sana tena wenye akili ndio wataelewa kuwa walichokifanya ukawa ni sahii..."it was their perfect timing kuiambia dunia kuwa hawakubaliani na uporwaji wa democrasia uliotokea zanzibar...hawakuwa against magufuli coz legally he is the president..."ukweli utabaki pale pale,there...
Napenda kuwashauri BOT waikague vizuri hii kampuni ya Wacanada.
Je, hii kampuni inalipa kodi toka imeanzishwa?
Je, inajiendesha kwa kufuata regulations zote?
Naomba mfuatilie kwa undani maana ipo kwa zaidi ya miaka 4 sasa..
acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.