Kwani suala la timu kunyang'anywa points kwa makosa yao yanafanyika Tanzania pekee?? Mbona hizi ni sheria za Fifa na zinatumiwa na nchi zote wanachama wa Fifa! Mcpende kuwachagulia TFF adhabu za kutoa wakati sheria na taratibu zipo wazi!
Ulinzi ulipo dodoma wa askari police kwann wasitoe ulinzi wa aina hiyo kwa vyama vyote kama wanaamini vurugu zitatokea na cyo kusitisha mikutano yote ya vyama vya upinzani??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.