Ni wakati gani unausemea, kama nimuda ambao tunautumia kwa kujua muda kwa masaa; ulianza tangu dunia ilipo umbwa tu na kupewa sifa ya usiku na mchana. Na kama ni kuhusu mwelekeo wako wa maisha, muda ulianza ulipo zaliwa na utapata kikomo kwako wewe pindi utakapo kufa. Na ndomana wanasema "katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.