Recent content by TISSUE

  1. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Wkt wa kinyang'anyiro cha urais akakatwa kisha akachukilia poa, akakatwa Lowassa akafurahi. Sasa nae kakatwa tena kwenye Uspika, tuone atafanya nn.
  2. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    1.Wizara ya Afrika Mashariki iunganishwe na Wizara ya Mambo ya nje. 2.Wizara ya ardhi iunganishwe na Wizara ya ujenzi 3 . Wizara ya Mambo ya ndani iunganishwe na Wizara ya ulinzi na usalama
  3. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Aliniambukiza UKIMWI, acha ningojee siku zangu nife

    Njia sahii ya kuepuka UKIMWI ni kuacha zinaa tu. Tumwombe mwenyezi mungu atuepushie mbali na kutuondoshea janga hili la hatari. Ewe m/mungu tusaidie.
  4. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Dah! Mchana wapinzani,usiku wanaungana na wanaowapinga. #Sasa mwaka huu kwisha habari yao.
  5. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Huyu anaonekana hana msimamo,kwasababu nakumbuka alisema anaachana na siasa na hataki kujishughulisha hata kidogo.
  6. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    Sifa mojawapo ya kiongozi bora ni kufanya maamuzi sahihi,kwa wakati sahihi na kwa kufuata taratibu na hatua sahihi zilizowekwa kwa mujibu wa sheria. Kiongozi anayefanya maamuzi sahihi,kwa wakati sahihi lakini hafuati taratibu na hatua sahihi zilizowekwa kwa mujibu wa sheria,huyo hafai kuwa...
  7. TISSUE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Innalillah wainaillah rajiuun.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. TISSUE

    JamiiForums Tanzania ZITTO: MAGUFULI hajawahi kukemea UFISADI bungeni tangu amezaliwa!

    Apply newton's 2nd law of motion
  9. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Mahujaji 107 wafariki na 238 wamejeruhiwa baada ya winchi kuanguka katika msikiti wa Makkah

    Innalillah wainaillah raajiuun
  10. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Tusubiri kitakachojiri kwa maisha ya siasa za nchi yetu baada ya uchaguzi mkuu.
  11. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Hili ni TSUNAMI huwezi kulinganisha na mafuriko ya mto msimbazi yaliyofanyika wiki iliyopita. UKAWA hadi IKULU...............
  12. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Hapana chezea hiyo kitu! Msimu huu jamaa upepo umewakalia vibaya xana kila safu wanayoipanga wanadream kushindwa tu. Ngoja kesho pale Jangwani wajionee TSUNAMI alafu wajilinganishe na mafuriko yao ya juzi yale.
  13. TISSUE

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Watanzania tusipokubali kubadilika kifikra,hatuwezi kubadilika kiuchumi.
  14. TISSUE

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia ziara ya Edward Lowassa, Kariakoo. Wapiga marufuku mgombea kupanda daladala

    Ni hatari xanaaaaaaaaaaaaaaa
  15. TISSUE

    JamiiForums Tanzania CCM Jimbo la Rufiji washindi wawili

    Taswira inaonesha kama vile Mh Dr Seif kapigwa chini kwa kura nyingi tu,lkn analazimisha kushinda. Sijui lengo ni kutetea wadhifa aliokuwa nao!? Mbona kuna wenzake wamekubali matokeo mf.Mh Mathias Chikawe(Waziri-mambo ya ndani), Mh Dr Titus Kamani(Waziri-mifugo na uvuvi) n.k. Basi mm naomba...
Back
Top Bottom