TISSUE
Member
- Jul 27, 2015
- 30
- 9
Taswira inaonesha kama vile Mh Dr Seif kapigwa chini kwa kura nyingi tu,lkn analazimisha kushinda. Sijui lengo ni kutetea wadhifa aliokuwa nao!? Mbona kuna wenzake wamekubali matokeo mf.Mh Mathias Chikawe(Waziri-mambo ya ndani), Mh Dr Titus Kamani(Waziri-mifugo na uvuvi) n.k. Basi mm naomba akubali kushindwa tu ili awapishe na wengine wanaopendwa na wananchi,watakaoweza kutetea maslahi ya wananchi,wenye uwezo wa kuleta maendeleo ya jimbo. Na hayo ndio mavuno ya kile alichokipanda miaka mitano iliyopita,kwani ukipanda karanga usitegemee kuvuna mpunga. Ahsante,by Mwanachama wa chama cha siasa.