Nataka nikuhakikishie ndugu yangu hapa kuna paradox ya hali ya juu. Watu wanayodai kwamba wamebung'aa wajumbe 1900 wa mkutano Mkuu na wajumbe 270 wa NEC ndiyo hawa unaowaona wanaokota thread chovu na kujaribu kutengeneza uongo ambao hata bure watu hawaupokei. Membe jana hakuwa na mpango wa...
Nape wewe ni jembe na ukweli wako ndiyo utakaokikomboa chama na nchi kutoka katika makucha ya wanaotaka kuleta anarchy. Si hao wameufyata na kufunga Duka na kukusanya mahema na viti vyao vya plastic. Wamebaki wachumia tumbo kubwata na kulalama kama mbwa MWITA.
naaaaaaaaaaaaaaape!!!!!
Tatizo lako FaizaFoxy unaongea point sana halafu unapotea na kuacha wachangiaji uchwara humu wakitambatamba. Leo ukiwauliza watu wakueleze Escrow maana yake nini hata hawajui kitu lakini ndo wa kwanza kudandia hoja. Fedha hizi ni kwa huduma iliyotolewa kati ya 2006 na 2012 ambayo Tanesco...
Unashutumu wenzio wakati wewe ndiye unayeonekana kutojua unachozungumza. Mgogoro uliokuwepo kati ya IPTL na Tanesco kuhusu gharama za umeme uliisha na ndiyo maana makubaliano yalisainiwa na kuruhusu fedha zitoke. Na wala hakuna kesi iliyopo mahakamani kuhusiana na hilo kati ya IPTL na Tanesco...
Mimi huwa natoafutiana sana na Pasco katika mitazamo yake minig but give credit where it is due. katika hili Pasco yuko sahihi. Suala lililogonga vichwa vya habari na kwenye medani ya siasa ni uhalali wa kutolewa kwa fedha za Escrow kutoka BOT. kama alivyosema Pasco, fedha hizi zilikuwa chini ya...
Hivi nyie mnadhani Serrikali haina kazi za maana? Hiyo kama inatokea ni business between a willing buy and a willing seller. Hakuna aliyelazimishwa hapa. Kila kitu serikali. Nyie ndiyo mmeiigniza serikali kwenye mgogoro wa wafanyabiashara binafsi kwa madai kwamba hela ya escrow ni ya serikali...
Ndo mnataka kwa uchafu huu mtu akae kuujadili na kupoteza rasilimali. Kamwe nchi hii haitaonja maendeleo mpaka kizazi hiki kinachoishi kwa kushikana uchawi kitakapoondoka.
Labda mimi sielewi maana ya hoja nzito. Toka lini uzushi ukawa ni hoja nzito? Waziri Membe amekanusha kwamba kitu cha namna hiyo kilitokea, kama ambavyo wizara ya Mambo ya Nje China ilivyokanusha vikali. Kati ya wote wanaoeneza uvumi huu na hata ile documentary, hakuna hata sehemu moja...
Brother my worries have been confirmed: That you have nothing between your ears. You have not come out clean on why the alleged slump of our shilling happened and whether or not this is phenomenon across the entire East African Region. You are linking him with IPTL, the same way some naïve...
Majuma kadhaa yaliyopita, yule mshambuliaji wa kujitoa Mhanga aitwae Hussein Bashe (Certificate CBE) alitoa tuhumua nzito dhidi ya Waziri Membe, akimhusisha na tukio baya la shambulio dhidi ya Mhariri nguli wa magazeti ya New Habari Corportion, mmoja Bwana Absalom Kibanda ambaye bado anahudhuria...
Hivi jamaa ile kesi yake dhidi ya Kainerugaba Msemakweli imeshia wapi? Si alijifanya kufungua kesi ya madai ya kashfa kuhusiana na Phd yake feki? Hivi mwanaume kama yile unapolamba mwanaume mwenzio viatu si ni kudhlailisha mke na familia yako kwa ujumla?
Miongoni mwa watu wailoumia sana na Chenge na Mke wake kwa sababu mke wake amesikika akilalama kwamba kuna usaliti umefanyika kwa sababu haiwezekani kwa fedha zote walizozitumia halafu mambo yageuke vile. Bashe amegeuzwa condom na hivi karibuni atatupwa maana hatakuwa na thamani. Maskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.