Mimi mwenyewe kwa upande wangu sikubaliani na swala la kuanza kukopeshana na kushare biashara na mwanaume ambae siyo mume wako kila mtu afanye vtu vyake mwenyewe wanaume wengi cku hizi wanapenda sana mtelezo kuliko hata wadada
Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha huyo rafiki yangu kuwa siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.