Usiishie kuwashangaa CDM tu kwa hili la Kijana Ludovick ujifunze kua usaliti si kitu cha kushabikia hata kidogo. Yuda mwenyewe aliemsaliti YESU aliishia kujinyonga. Kama alipewa 50,000 ikiwa malipo ya awali basi yanamtosha kama ataona kadhulumiwa basi amshakati mwajiri wake aliemtuma. Yote ya...
Bwana matusi kumbe la saba la leo!!!!! Kwa vyovyote hawezi sema la zamani kwani zamani ilikua mwisho la nane sio la saba. kumbe sitamshangaa tena kwa matusi yake hajitambui.
Siwashangai wenye mawazo mgando kama mtoa mada hata enzi za Mandela walikuwepo na Mandela hakukata tamaa aliendelea na harakati hadi mwisho na baada ya ukombozi wanafiki wote kama nyinyi ndio walikua wa kwanza kupongeza ili wafikiriwe katika madaraka hamna lolote. Nyinyi mnafedha za rushwa na...
Hana akili huyu mtu. Nadhani wana wa Iramba mashariki wanaakili sana kumpumzisha na wanawathibitishia Ccm kua mwisho wao wa kufikiri umefikia kikomo ndio maana wakampa madaraka ya juuu kwenye mkoa. Ni msindai huyu huyu alieanzisha mgogoro mkubwa kati ya ccm na manispaa ya Singida kwa kuruhusu...
Naomba nikurekebishe kaka Lameck Mkumbo si kweli kwamba uliingia bila fedha katika siasa. Uliingia baada ya kutengeneza fedha za kutosha ulipokua BOT na ukafanikiwa kuwahadaa wanavijiji kwa kufadhili watoto katika shule za kata ambao wengi wao wameibuka na ziro kwa kua shule hizo zilianzishwa...
Mkiitwa kuhojiwa kwenye vyombo vya habari muwe na vitu vya kuongelea vyenye maslahi kwa taifa huu sio wakati wa kuongelea elimu ya kiongozi ajaye bali ni wakati wa kuangalia matatizo ya taifa letu na jinsi ya kuyatatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.