Maajabu ya Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma

Maajabu ya Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma

Hawajawahi kuwa serius hawa, ni zaidi ya maigizo ndo maana sanaa bongo inalegalega waigizaji wazur mmewapa kazi nyingine teh teh
 
Nadhani umetoroka Mirembe hosipitali. Mkutano huo Ni ujio wa watu wengi Dodoma hivyo lazima RC Kama Kiongozi wa mkoa aandae Wananchi wake ili waweze kuendesha maisha yao sambamba na umati wa wajumbe wa Mkutano huo wa ccm
Kama ametoroka basi ana afadhali kuliko wewe maana nadhani wewe umezidiwa kiasi cha kutokuona mlango wa kutokea, nani alikuambia suala la utulivu ni kwa viongozi na wageni wa ccm peke yao? Ana maana wakishaondoka waendelee na vurugu zao? Nchi ni yetu sote hakuna anayestahili utulivu zaidi kuliko mwingine, sio wengine wapokewe na mabomu na mikwara ya polisi na wengine wawekewe redcarpet..
 
Back
Top Bottom