Recent content by Tin guy

  1. T

    Bashe: Mazao ya Mkulima sio mali ya Umma, Waachwe wauze popote

    Good. Wakulima wa Kahawa maeneo fulani ya Kagera kwa muda mrefu wamekuwa kwenye umaskini wa kutisha kwa kuzuiliwa kuuza bei nchi jirani ya Uganda ambayo huwa ni kama mara 3 ya ile ya TZ kwa kilo. Huku TZ badala yake matajiri wadogo kwa kutumia mgongo wa vyama vya Ushirika hununua hiyo kahawa kwa...
  2. T

    GIS Expert in Land Management and Agricultural Production

    I am an expert in GIS and Remote Sensing applications for Land Use Planning. Specifically, I often apply GIS analysis in Agricultural Crop Production and other related projects. I am a holder of MSc. Natural Resource Assessment and Management from UDSM Feel free to ontact me on this...
  3. T

    Diplomasia (Sio Ubabe) Itumike Kurudisha Uhusiano Mzuri Baina ya Tanzania na Taifa la Marekani

    Kufuatia tukio lililotokea hivi karibuni la Ndugu Paul Makonda (RC wa Dar es Saam) pamoja familia yake kuzuiwa kuingia Marekani limeacha doa la mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani huku kukiwa na maoni tofauti katoka kwa watu; watu fulani wakiipongeza Marekani huku wengine...
  4. T

    Mdudu kantangaze ( tuta absoluta) azidi kuua kilimo cha nyanya tanzania

    MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA. Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuteketezwa na Kantangaze na hivyo nimeamua kuandika machache kuhusu huyu...
  5. T

    Mfahamu mdudu Kantangaze (Tuta absoluta)

    MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA. Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuteketezwa na Kantangaze na hivyo nimeamua kuandika machache kuhusu huyu...
  6. T

    I am Qualified Farm Manager and I am looking for a job

    Understood sir.I don't want to open argument with you in here because that was not my intention. I'm marketing my intellectual service as other people do. If you don't want it just keep quite. And I'm not intending to impress or convince you. I think calmness is the great wisdom character we...
  7. T

    I am Qualified Farm Manager and I am looking for a job

    I wish !!! Do you know an option of self-employment with 0 capital? I think first of is to get familiarized with productivity of the place otherwise you will quit imeaduately after you experience failure. Agricultural environment differs from one place to another my brother. And the way you...
  8. T

    Bagamoyo Sugar Company Limited

    Mtu aliyepo kwenye au aliye na contacts za watu wanaofanya kazi katika kiwanda cha Sukari kinachoanzishwa Bagamoyo na Bhakhressa ( Bagamoyo sugar company Limited) katika eneo LA Makurunge anisaidie My mobile contact: 0625758571
  9. T

    I am Qualified Farm Manager and I am looking for a job

    I'm a qualified crop producing expert from SUA. I can work in company, individual farms and NGOs. Further more, I do farm consultation Wage is negotiable I'm in Bagamoyo and I'm found by this no: 0625758571
  10. T

    Agronomist looking for a part time job in( Arusha +Pwani)

    Hello, I am an expert on the application of GIS and Remote Sensing in Land Use, especially for Agricultural Production in Urban and Rural areas. I hold MSc. Natural Resource Assessment and Management from University of Dar es Salaam Feel free to contact me on this platform for GIS analytics...
  11. T

    Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

    Hiyo ndo maana ya " akili za kuambiwa..." Alisema inaamanisha " no, hapana " anamaanisha kwamba hiyo sehemu wanasema "no, happana, hakuna " kila mara!!! Unashindwa hata kutumia lugha ya mandhari? Ukienda lodge or hotel utagemea neno utakalolisikia likirudiwa sana ni lipi kati ya haya "...
  12. T

    Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

    Na watu waloelezea "mukisenge =chumbani"wako ssahihi. Actually ndivyo hilo neno hutumika mara nyingi. Lakini hata hutumika kama " Omukisenge, omuchisenje " ( kulingana na matamshi ya kabila husika), kumaanisha =" chumbani " ktk maongezi ya kawaida
  13. T

    Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

    Kisenge = chumba Watu wenye akili timamu kwa kutumia hata lugha ya mandhari si mtakuwa mnaona aliesema "kisenge =no or hapana " ni pathological liar? Kwa hiyo hiyo sehemu neno ambalo hutajwa sana ni " hapana, no "??!!!! Mi ni mtu wa kanda ya ziwa I know many Ugandan tribal languages
Back
Top Bottom