Recent content by TIMO MG

  1. TIMO MG

    Ukweli uko wapi?

    Utakapojua kwamba haujui, ndipo utakapojua, na hauwezi kujua kwamba haujui kwa 7bu hujui. Hivi pesa humaliza MATATIZO au matatizo humaliza PESA, naomba tusaidiane.
  2. TIMO MG

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Hilo nalo neno hebu tuambe ukweli, hivi upungufu wa nguvu ni kwa wanaume tuuuu?
  3. TIMO MG

    Bei ya line za TIGO PESA, M-PESA na AIRTEL MONEY

    Kweli mbongo atabaki kama mkia siku zote, so we unadhani mi ni mashine sio? hata mashine yenyewe hukosea, funguka sema shida yako nyingine, au nikupe mtihani wa kiswahili tuone kama hauta ondoka na boli. Acha ushamba changamka kuwa muelewa ok?
  4. TIMO MG

    Construction Project Managers Available

    There so many kinds of engineers, So you have to elaborate which service are you dealing with?
  5. TIMO MG

    Bei ya line za TIGO PESA, M-PESA na AIRTEL MONEY

    Jamani, mi najua kuna laini za TIGO, AITEL & VODACOM na ndo tulizo nazo sisi, sasa hizi za TIGO PESA sijui M-PESA mara AIRTEL MONEY, Endelea kuulizia......
  6. TIMO MG

    Ni ipi siri ya mafanikio

    Nashukuru, nitajaribu.
  7. TIMO MG

    Ni ipi siri ya mafanikio

    Hello kakaz & Dadaz mko poa? Jamani mi nainshu moja tu, naomba tujuzane ili na mimi nijue, tatizo linalonikabili ni kwamba sijafahamu nini siri ya mafanikio, elimu yangu ni form four,na ni mwaka wa pili nipo nyumbani mara baada ya kushindwa kuendelea na masomo kutokana na kipato duni, nimekuwa...
  8. TIMO MG

    Kanumba tulikuwa nae kwenye msitu anatutesa sana niachieni

    Mwalimu wako alikuwa msomi mzuri.
  9. TIMO MG

    Matokeo ya kidato cha pili mtihani wa taifa utata

    Nimesikia anaye feli kwa mara ya pili, bado ataendelea na elimu ya sec katika mfumo usio rasmi, inakuaje hapa mbona sielewi elewi vizuri? ninyi mnao husika na mitihani nielezeni bac nijue, mi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea.
  10. TIMO MG

    Nani anaikumbuka hii?

    Mi nakumbuka, lakini maudhui ya wimbo, hayajatekelezwa.
  11. TIMO MG

    Msaada: Namna ya kumtoa msichana bikra

    Hapa hakuna dawa yeyote, hakuna cha ky jelly wa mdogo wake, huitaji kutumia mafuta ya kulainishia kama hayo, we muandae vizuri mpenzi wako, hakikisheni kuwa wote mpo ridhaa juu ya kile mnachoenda kukifanya, tatizo linapoijia ni kwamba wewe bado ni mdogo hujui cha kufanya bila shaka hata kule...
Back
Top Bottom