Recent content by Timetraveller

  1. Timetraveller

    Nini kinakukwamisha kuwa jinsi unavyotaka kuwa?

    Tatizo kampani nlionayo ipo kwenye system yangu ya maisha mkuu nawezaje kujinasua hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Timetraveller

    Nini kinakukwamisha kuwa jinsi unavyotaka kuwa?

    Nataka kua tajiri mkubwa hapa bongo kupitia utalii lakini kikwazo kipo kwa marafiki, starehe nyingi, mademu na msimamo nashindwa kufocus Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Timetraveller

    Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Mazingira mkuu coz bundi ni mnyama anaependa kujificha na viumbe wengine kutokana na uasili wake so sio rahisi kua kwenye maeneo kama hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Timetraveller

    Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Kwanza kabisa kiumbe chochote kinapokua katika na hali ya kukaribia kufa seli ndizo hunza kufa so bundi anaouwezo wa kutambua seli za kiumbe ambacho kinaenda kufa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Timetraveller

    Kufungua kampuni ya utalii

    Inawezekana sana mkuu wapo watu wengi wanakampuni lakini hawana magari nikiwa mmojawapo, upo mkoa gani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Timetraveller

    Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

    Kifaransa mkuu , wafaransa wanaoingia tanzania ni wengi sana
  7. Timetraveller

    Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Uko mkoa gani mkuu? Arusha kuna walimu kibao wa kifaransa mi mwenyewe nina miezi miwili tokea nianze
  8. Timetraveller

    Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

    Zipo nyingi mkuu moja wapo ya kufungua kijiwe cha kokoto nyeusi na kwa sasa ni biashara ambayo inatoka sana unaweza ukashusha mzigo wa 1mil na siku hiyo hiyo ukaisha na kwa kila mzigo unaoishia unafaida ya laki 3 hapo ni baada ya matumizi yote ila inahitaji uangalizi wa hali ya juu hasa kwenye...
  9. Timetraveller

    Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

    Mwenye kusikia na asikie mi binafsi nakupongeza kwa huu uzi mkuu. Lakn sasa mkuu mbona wapo wenye siri sana na wala sio matajiri inakuaje kwa hao?
  10. Timetraveller

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Tz ni nchi ya pili duniani kwa kuwa vivutio vingi vya kitalii hasa wild life lakin watangazaji wetu nothing
  11. Timetraveller

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Waache kurudia stori zilezile zinachosha wajaribu kwenda na wakati wild life kila siku mambo yanabadilika
  12. Timetraveller

    Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Wabadilishe hao ma guide hawana facts alafu stori zilezile kila siku, tokea lini ndege akawa kwenye food chain ya mamba eti kisa mda mamba anapoacha mdomo wazi na wale ndege wanaoenda pale na kuingia mdomoni kwamba ni mtego.. nilishangaa sana nakuzim tv adi leo siangalii safari chanel hawajui...
Back
Top Bottom