Recent content by timestroke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

    Hakuna ndumba kwenye biashara, ila kama umewahi kufanya biashara na wachina nakuhakikishia ni washirikina kuliko waafrika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe umuhimu wa Imani na Dini

    Sio kila mwenye imani ana dini na sio kila mwenye dini ana imani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Yani una njia mbili tu za kutoboa ndugu yangu utakapoongea na mwekezaji, zinategemea kama uko stage za mwanzoni kabisa kama wewe au kama tayari upo sokoni. 1. Ukiwa stage za mwanzoni ni ngumu zaidi kwa sababu idea ni 20% na team ni 80%. Namaanisha kwamba mwekezaji hatajali sana kuhusu idea kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Kwanza Tafuta marketer au promoter mwenye jina umpe share chache na pesa ili atafute investor kwa niaba yako ..mawazo mazuri yako mengi sana ila kumfanya mtu awekeze kwenye kitu ambacho hajui team yako ikoje, kiwango cha risk, gross na net profit, ROI projection, proof of sales and demand...
  5. T

  6. T

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Strategist, sikukufundisha kuongea na wanawake hvi. Ni mwanamke usibishane naye
  7. T

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Una hasira kali mama♥️, Mimi nakula chungwa bila shida kama hujazidi 32😋😋😋, hebu njoo inbox kwanza tuyajenge..achana na hawa machoko
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    Kuna jamaa nilikua nabishana naye sana zaman kwamba nguo za mtumba ni bora kuliko special. Nguo ya mtumba yenye quality ya juu inaweza ikazidi nguo special ya quality ndogo Ila Special yenye quality inazidi mtumba yenye quality mbali sana...ikipungua quality itakua mtumba yenye quality
  9. T

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

    'Mama awalisha watoto sumu na yeye kajinyonga,' Inawezekana lengo la huyo mama ni zuri kabisa, hataki watoto wake wabak kwenye dunia yenye mateso...ila bado ni sahihi? Kuwa dikteta ni kujaribu ku dictate maisha ya watu kama huyo mama alivyowachagulia kifo watoto wake kwa lengo ambalo anaona ni zuri
  10. T

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

    Kila dikteta ana mazuri yake na mabaya...uwiano ukoje?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na wanashirikiana na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Point yako ni nini hapa? maana japo kuwa kuna washia kwenye serikali ya kisunni na wasunni kwenye serikali ya kishia haimaanishi serikali ni minority
  13. T

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Alawi ni Branch ya kishia, ndio maana walikua na sapoti ya Hezbollah na Iran Syria acha kudanganya watu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Hamas kwa Iran ni kitu wanasema adui wa adui yako ni rafiki yako...Ila mlezi wa Hamas ni Qatar
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa haya, hakuna usabato

    Ni wazinzi balaa ila hawaoni ni kosa kubwa kama kula mdudu🤣.
Back
Top Bottom