Wala wanawake wengi hawabadili majina yao tena kama ilivyokua hapo awali.Je wajua kua kabila la wakikuyu hapa Kenya watoto hupewa majina ya wakwe?,kwa mfano mtoto mwanamme hupewa jina la mamake mke,tafakari hayo.
Huku Kenya bunge letu lilipitisha mswada wa kutokuhalalisha hiki kitendo cha mahari, wakaongezea kuwa si shuruti kutoa mahari bali kila mtu akatoe kwa hiyari yake ila ukija ukatokwa na mke au kutapeliwa husije kuisumbua serikali ukidai mahari uliyotoa.
Na huyo binti kumbuka pia anahudumiwa mahitaji yake ya kimwili na huyo mume anayetozwa ada pamoja na kuyarutubisha mayai yake huyo binti (kumzalisha) na kuendeleza ukoo wa wakwe(yaani wazazi wake binti wanapokea zawadi ya wajukuu pia),tusipangiane aisee,hizi desturi ni upumbavu wa wanaume,wizi...
Na wala hamna lolote,likitangazwa leo ,mbona tunawafuta wote ulimwenguni nyie mashetani wa pepo muhamed?
Uislamu unaweza ukaharamishwa duniani mkaishi kwa mashaka na hayo makusanyiko yenu haramu mnazoziita mataifa yakavurugwa na kufutwa.
Uwezo upi mnao?
Msiliwashe abadan, mnaweza kuja kujutia.
Waanze na wakuu wenyewe Kenyatta pamoja na Rutto ambao washa shtakiws kabisa kwenye mahakama kuu ya dunia.
Nchi zingine kama Marekani ukiwa na rekodi kama hiyo hautowania ofisi yeyote kuu abadan , hata kuajiriwa tu ni balaa.
Wakenya na unafik mmh!..bas!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.