Hatariiiii.... mibabe kuzuiwa kuwania uongozi Kenya kwa ajili ya maadili

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,375
50,761
Viongozi wa kutajika kama Kidero, Waiguru, Mutua, Joho, Lusaka n.k. wanaelekea kupigwa chini ili wazuiwe kuwania uongozi kwa ajili ya madoa doa kwenye maadili yao. Kenya kumekuchaaaaa!!!

---------------------------------------------------------------------------------

Rights activists have blacklisted 20 politicians from the August General Election over integrity issues.

The activists, under the National Integrity Alliance, on Wednesday gave red card to Kirinyaga Governor Jubilee nominee Anne Waiguru and Governors Alfred Mutua (Machakos), Evans Kidero (Nairobi), Hassan Joho (Mombasa), Kenneth Lusaka (Bungoma), Okoth Obado (Migori), Mwangi Wa Iria (Murang’a) and Cyprian Awiti (Homa Bay).

The alliance also named Uasin Gishu Jubilee Woman Rep nominee Gladys Boss Shollei, Elizabeth Ongoro, George Ochilo Ayako, Mike Sonko and Mathew Lempurkel.

Others are Moses Luria, Oscar Kipchumba Sudi, Samwel Kazungu Kambi and Stephen Murathi Kambi.
20 blacklisted from August polls
 
Ni akina nani hawa? Wako na authority wapi ya kublacklist watu, ama ni hizi kelele za maactivists tu hazizuii ngombe kunywa maji?
 
Ni akina nani hawa? Wako na authority wapi ya kublacklist watu, ama ni hizi kelele za maactivists tu hazizuii ngombe kunywa maji?

Wacha tusubiri, nimefuatilia leo bunge la senate wakimjadili Oparanya, wamealika DPP,IEBC n.k. ilikua moto, nafikiri tunakokwenda kunafaa, mtu atakua anaiba akijua chuma kiko motoni. Wameahirisha hadi kesho.
 
Waanze na wakuu wenyewe Kenyatta pamoja na Rutto ambao washa shtakiws kabisa kwenye mahakama kuu ya dunia.
Nchi zingine kama Marekani ukiwa na rekodi kama hiyo hautowania ofisi yeyote kuu abadan , hata kuajiriwa tu ni balaa.
Wakenya na unafik mmh!..bas!
 
Back
Top Bottom