Recent content by timbilimu

  1. T

    PreGE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mimi ombi langu uchaguzi wa madiwani usitishwe 2025 mpaka 2030 tutakapo tumetengeneza vizuri majukumu ya madiwank na aina gani ya mtu mwenye sifa ya kugombea udiwani siyo hii holela inayo endelea kuharibu miji yetu na vurugu uko vijijini! Tusiharibu pesa za wa Tanzania kwa chaguzi zisizo na...
  2. T

    Nichukue wasaa huu kuwapongeza Mwanza city council jinsi wanavyofanya kazi

    Nasikitika kwamba moja ya miji yenye ujenzi holela kabisa Tanzania ni Mwanza. Kila nikipita nikipita Mwanza na jiuliza kama kuna viongozi, maafisa mipango mji na maafisa ardhi! Imekuaje vilima vizuri vya Mwanza wananchi wameachiwa kujenga nyumba za mabanda?? Jiji Mwanza kazi yenu ni nini...
  3. T

    Serikali Geita yatenga Bilioni 14 kukarabati na kujenga Stendi Kuu ya Mabasi

    Nimepita Geita siku 4 zilizopita niwatqke viongozi kupambana ujenzi ktk milima iliyo izunguka Geita unakomeshwa na nyie msiharibu mji wenu kama Mwanza ilivyo haribiwa kwa ujenzi holela kana kwamba hakuna maafisa mipango mji,ardhi na viongozi! Pili muangalie uwezekano wa kuondoa msongamano ktk...
  4. T

    Tetesi: Aishi Manula anakaribia kujiunga na Azam FC

    Sijui kiongozi gani ndani ya SSC bado hataki Manila aondoke SSC tumechelewa sana tena sana kumstaafisha Manula
  5. T

    Viongozi wa CHADEMA wanajifunza nini kutoka kwa viongozi wa HAMAS?

    Hivi sijui kama ana kifahamu anacho kilinganisha..... ujinga na umasikini una endelea liangamiza taifa
  6. T

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Tuendelee kuwapa Wachina hizi kandarasi sisi bado ni wa mambo madogo madogo kama haya ya uchawa!!
  7. T

    NEMC Yafunda Makanisa na kumbi yanayopiga kelele

    Maoni yangu kuwepo semina za mara kwa mara na sheria hizi ziandikwe na kutumwa ktk nyumba za ibada,ofisi za mtaa na ktk mitandao ya kijamii pande zote wananchi na wavunja sheria ktk nyumba za ibada waweze tambua makosa yao. Arusha ni moja ya eneo lenye makelele mengi usiku ya nyumba za ibada...
  8. T

    Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tumeambiwa na Wabunge wawili Bungeni kwamba bwawa la Mtera halina maji kabisa na huku pembeni maji ni mengi mpaka kuvuka kingo! Hii ni hujuma kwa Rais na inatekelezwa na baadhi walio mzunguka! Ni matumaini yangu siku chache zijazo tutasikia kishindo cha hatua za kinidhamu zikichukuliwa dhidi ya...
  9. T

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Madhara mengi ni kutokana na mipango miji mibovu, na sioni suluhu kwasababu wahusika walio shindwa wwnajiandaa kwa uchaguzi mkuu hawataki wahudhi wote walio jenga ktk njia za maji na mabonde.
  10. T

    Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

    Matatizo yetu tunayo shuhudia ni ukosefu wa Katiba Bora yenye Taasisi Imara na Bora na ukiongezea Tume Huru na Haki ya Uchaguzi. Wanunge hao uchwara huwezi sikia wanajadili jambo la msingi kama hilo na wengine wanao pendekeza adhabu ya kifo wakiwa wezi wa mali za umma na wezi wa kura! Vikelele...
  11. T

    Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Mimi nilishangaa au siku hizi hawafanyi vikao? Ni kichekesho kinacho sikitisha.... ndiyo hivyo Mama alitegemea Makonda mzima? Acha kuchezea damu ya watu,jamaa ndiyo kaisha Chisinau hivyo.
  12. T

    Makonda aiagiza Serikali impe Mbowe kibali cha kuruka na Helicopter na kama hana mafuta ameongea na Rais ili wamsaidie

    CCM ilichagua mtu wa kuja kuwatia aibu naye leo ametuonyesha namna gani tunatakiwa kuachana na chama kilicho choka kama CCM... moja ya ujinga wa msemaji ni kuingia ktk mkutano na boda bila helmet!!! Ni aibu kwa taifa kwamba huyo ni muhenezi wa chama tawala!!
  13. T

    Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

    Huyu naye sijui anaandika ujinga gani huu
Back
Top Bottom