paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 523
- 836
Bado huyu
Hili nalo duka
Hili nalo duka
Niko hapa kuthibitisha kuwa Aishi Manula, golikipa wa Simba SC hatakuwa kipa wa Simba SC msimu huu. Anapelekwa Azam FC Kwa mkopo. Mpango wa Simba SC ni Ayoub Lakred kuwa namba Moja akisaidiwa na Ally Salim