Tanzania pamoja na upole wetu ndo nchi pekee kwa Africa mashariki yenye diplomasia inayoaminika..Kwenye case ya ICC, ni Kenya wanatambua kabisa kuwa ni Tanzania pekee kwa ukanda huu wanaweza kuwapa mikakati na kuwasaidia.. wengine watapiga kelele sana lakini hawaaminiki kimataifa..
JK...
nakubaliana na wewe kuwa kuna baadhi ya maoni ambayo CCM,CDM, CUF, NCCR TLP AND TAASISI NYINGINE wametoa kwa nia njema kabisa ya kujenga tena msingi wa nchi yetu, lakini mengine ni kulinda maslahi yao..message yangu ni kwenye hicho kipengele cha Serikali tatu kwanza.. hapo ndipo pame raise...
Tatizo hapa siyo Chadema V/S CCM.. Ni mstakabali wa Tanzania ya kesho na vizazi vijavyo..Siyo kila kitu kinachopendekezwa na Chama cha siasa au Taasisi yeyote kitapita, la Hasha.. "Funika Kombe mwanaharamu apite"ndicho tunachotaka kukifanya.. Tume walitumia Buisara ya hali ya Juu sana, ili...
Pamoja na nia Nzuri ya Raisi kukubali kuanzishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya bado kuna wingu zito la upatikanaji wa katiba hiyo kabla ya mwaka 2015. Swala linaloonekana kuwasumbua sana CCM ni Kuwa Serikali Tatu; Kwa maoni yangu kinacho watesa CCcM ni kama ifuatavyo:
1. CCM wanaogopa Mabadiliko...
Nimekuwa nikifuatilia kwa Muda mrefu matukio ya Wabunge kutolewa nje ya Ukumbi wa Bunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni utovu wa nidhamu na kukiuka Kanini..
Je, kwanini Matukio haya mara nyingi yanatokea wakati Naibu speaker akiwa anaongoza Bunge?
Mama Prof Anna Tibaijuka, Watanzania wengi bado tunaimani kubwa nawewe, tunaini kuwa una mchango mkubwa katika hii safari ya Mabadiliko ya nchi yetu. Tunategemea kujifunza mengi kutoka kwako.
Karibu sana mama yetu Prof.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.